Foundation course

Foundation course

nathanluke

Member
Joined
Mar 23, 2016
Posts
6
Reaction score
0
Hivi foundation course ikoje na je kama mtu akisoma degree kwa kupitia hii anakuwa na thamani sawa na aliyepitia kidato cha sita
 
Anakuwa sawa hyo ni course ya kukuandaa kusoma dgree Kwa kukosa vigezo pale open universty
 
Mara nyingi huwa kuanzia wiki tatu mpaka mwaka mzima inategemea na course unayosoma baada ya hapo utafanya mtihani wa mwisho ukifaulu unaanza rasmi masomo ya course husika...
 
Back
Top Bottom