Napenda kujitambulisha rasmi na nategemea tutakuwa na mijadala ya maana zaidi ambayo italenga kujenga na sio kubomoa na wala haitokuwa na kudhihakiana wala kutukakana wala personal attacks
Kama kutakuwa na mtu ana data za kuback up arguments zake tafadhali naomba aje tuzichambue pia kwani bila supporting data itakuwa ngumu mtu kuzungumza
Natumai tutafika pazuri na naamini mnaojiita GREAT THINKERS hamtosema neno mpaka muwe muna uhakina na mnachokisema
asante sana
WE BUILD YOUR FUTURE!
karibu sana utakayoyaona na kuyasikia yaache humuhumuNapenda kujitambulisha rasmi na nategemea tutakuwa na mijadala ya maana zaidi ambayo italenga kujenga na sio kubomoa na wala haitokuwa na kudhihakiana wala kutukakana wala personal attacks
Kama kutakuwa na mtu ana data za kuback up arguments zake tafadhali naomba aje tuzichambue pia kwani bila supporting data itakuwa ngumu mtu kuzungumza
Natumai tutafika pazuri na naamini mnaojiita GREAT THINKERS hamtosema neno mpaka muwe muna uhakina na mnachokisema
asante sana
WE BUILD YOUR FUTURE!
Sasa nimekosea nini?
Sasa nimekosea nini?
Napenda kujitambulisha rasmi na nategemea tutakuwa na mijadala ya maana zaidi ambayo italenga kujenga na sio kubomoa na wala haitokuwa na kudhihakiana wala kutukakana wala personal attacks
Kama kutakuwa na mtu ana data za kuback up arguments zake tafadhali naomba aje tuzichambue pia kwani bila supporting data itakuwa ngumu mtu kuzungumza
Natumai tutafika pazuri na naamini mnaojiita GREAT THINKERS hamtosema neno mpaka muwe muna uhakina na mnachokisema
asante sana
WE BUILD YOUR FUTURE!
karibu-jiandae kukutana na watu wa aina zote humu-kuna watakaokuudhi,wasioleweka n.k-ndo mambo ya humu-wasikutishe-sasa nimekosea nini?
Napenda kujitambulisha rasmi na nategemea tutakuwa na mijadala ya maana zaidi ambayo italenga kujenga na sio kubomoa na wala haitokuwa na kudhihakiana wala kutukakana wala personal attacks
Kama kutakuwa na mtu ana data za kuback up arguments zake tafadhali naomba aje tuzichambue pia kwani bila supporting data itakuwa ngumu mtu kuzungumza
Natumai tutafika pazuri na naamini mnaojiita GREAT THINKERS hamtosema neno mpaka muwe muna uhakina na mnachokisema
asante sana
WE BUILD YOUR FUTURE!
ni kweli mkuu ajubu haya kama yeye ni nssf la sivyo USIFISADI UNAENDELEA HUKO!kwa nini wewe ndo usianze kwa kutoa data. Mimi kama nina maswali?
- Vission na Mission ya NSSF ni nini hasa?
- Tofauti ya NSSF na CRDB, NMB ni nini? I mean NSSF intkiwakuwa focused sana na fida kama zilivyo benki?
- kwa nini NSSF haiwekezi kwenye miradi inayelenga kubadilisha maisha ya wanchama wake kama kujenga nyumb japo 50 kila mko kila mwaka na kuwauzia wafanyakzi kwa mikoa mikubwa na nyumba kma 20 kwa mikoa mingine.?
sidhani kama wewe ungejibiwa hivyo ulipojoin ungejisikia vizuri... maturity comes naturallyRudi ulikotoka hakuna aliyekuita hapa
Karibu pita na umechagua lililo jemaSasa nimekosea nini?
Rudi ulikotoka hakuna aliyekuita hapa