Formula yangu ya maendeleo Tanzania hii hapa

Joined
May 7, 2015
Posts
22
Reaction score
4
Simple. Serikali ishafanya jitihada za my decentralize uchumi na njia za uchumi.

In addition tuna kitu kinaitwa TAMISEMI sasa watu wa mikoa kama mwanza Iringa Pwani etc na wilaya zao wanaweza kutengeneza ba kutafuta economic and development partners na plans zao za kujikwamua without inteference from central govt na majitu mafisadi ya Dar.

Imagine kila wilaya inakuwa na uwezo wa kupanga mipango ya ukusanyaji revenues na kupanga matumizi bila kuingiliwa na mafisadi wa central govt pale magogoni....

Nadhani tutakuwa mbali zaidi tukiacha kutegemea national agencies like Tanzania investment Centre alone kupeleka investors wilayani na mikoani peke yao. Kila wilaya iwe na chamber of commerce na investment Centre yake na Lazima Kuwepo kwa independent oversight bodies kuhakikisha checks and balances.

Kuhusu major infrastructure projects muhim kuhakikisha 45%ya procurement na employment na sub contractors wanakuwa procured locally ili pesa zibaki kwenye local economy. Pia kila revenue inayopatikana from local economic activity Walau 50% ibaki locally.

Waingereza wanaita hii jury devolution Max.

Lakini tukiendelea kutegemea yale mafisadi ya Dar kutufanyia kila kitu tutaendelea kuwa maskini
 
Kuna wilaya hazina kitu.Wasiposaidiwa wamekwisha halmashauri nyingi hazina uwezo kabisa wa kujiendesha Vyanzo vya mapato utakuta ni akina mama wauza michicha na nyanya sokoni na ka-guest house kamoja kachafu ka short time!
 
mkuu,hii si kweli.
Hakuna "resource" kubwa kama ardhi na watu.Unataka kuniambia kuna wilaya isiyo na ardhi na watu?
Tukiweza kuanzia hapo,nina uhakika kila wilaya hapa nchini itafaidika sana na huu mpango wa mleta uzi huu.
 
tazama formula ya majimbo USA na nchi zingine. lazima mchangamke na naamini serikali inaruhusu haya

Serikali ya majimbo inafaa maeneo ya vita na yale yenye ukabila na ubaguzi wa rangi kama USA. Ndio maana mfumo huo uko Kenya ,nigeria,afrika kusini na marekani ambako ubaguzi wa rangi na kikabila ni mkubwa mno na unatisha.Wamarekani walipigana wenyewe kwa wenyewe muda mrefu na moja ya suluhisho la kumaliza hizo vita ilikuwa kugawa marekani katika majimbo ili kila bwana la vita lipate eneo lake ili wasiendelee kutwangana.Na kweli walipogawa hivyo kukatulia.Ndipo yakaibuka majimbo ambayo kiongozi wake ni kama raisi kwenye hilo jimbo.Afrika kusini nao baada ya kutwangana wee wakagawa majimbo ili kila bwana la vita liwe na eneo lake.Kenya pia baada ya kutwangana sana kikabila wakaunda katiba mpya inayogawa majimbo kikabila zaidi ukiondoa nairobi.Nigeria vivyo hivyo.Mfumo wa majimbo ni wa wahuni wakabila na wabaguzi wa rangi ndio maana Ulaya kwa wastaarabu hicho kitu hakipo.Na tanzania iliiga mfumo wa ulaya na sio ule wa kimaruhuni wa kimarekani.
 
Simple. Serikali ishafanya jitihada za my decentralize uchumi na njia za uchumi.

In addition tuna kitu kinaitwa TAMISEMI sasa watu wa mikoa kama mwanza Iringa Pwani etc na wilaya zao wanaweza kutengeneza ba kutafuta economic and development partners na plans zao za kujikwamua without inteference from central govt na majitu mafisadi ya Dar.

Imagine kila wilaya inakuwa na uwezo wa kupanga mipango ya ukusanyaji revenues na kupanga matumizi bila kuingiliwa na mafisadi wa central govt pale magogoni....

Nadhani tutakuwa mbali zaidi tukiacha kutegemea national agencies like Tanzania investment Centre alone kupeleka investors wilayani na mikoani peke yao. Kila wilaya iwe na chamber of commerce na investment Centre yake na Lazima Kuwepo kwa independent oversight bodies kuhakikisha checks and balances.

Kuhusu major infrastructure projects muhim kuhakikisha 45%ya procurement na employment na sub contractors wanakuwa procured locally ili pesa zibaki kwenye local economy. Pia kila revenue inayopatikana from local economic activity Walau 50% ibaki locally.

Waingereza wanaita hii jury devolution Max.

Lakini tukiendelea kutegemea yale mafisadi ya Dar kutufanyia kila kitu tutaendelea kuwa maskini

Nakubaliana na wewe kidogo ila sikubaliani na wewe kwa hii devolution unayoipigia debe.

Kuhusu miradi mikubwa ya kitaifa, kutoa kipaumbele kwa local firms ni muhimu kwa kuendeleza uwezo wa ndani kujipatia uzoefu na ujuzi. Kikubwa hapa ni kiwango cha kazi tarajiwa hasa katika kutimiza "thamani kwa pesa". Ethiopia wanafanya hivyo na kwa ukweli, kampuni zao za ndani zimejijengea uwezo mkubwa sana. Bwawa kubwa la kutunza maji na kuzalisha umeme kwenye chanzo kimoja cha mto Nile linajengwa na wazawa. Huku kwetu tungeambiwa kampuni zatu hazina uwezo (Miaka 50+ ya uhuru.... a shame).

Nina mashaka na kampuni zetu kuwa na weledi (sio uwezo) wa kutenda kazi hizo. Wengi tumazoea ubabaishaji wa kutengeneza pesa nyingi kwa kazi kidogo. Labda kwa kuwa wazawa wanaombwa rushwa nyingi kuliko wageni. Kuna Mkandarasi mmoja mzawa alipata kazi ya kujenga barabara moja ya mtaani urefu wa km 1.5. Aliniambia kuwa watendaji wa halmashauri walikuwa hawaishi ofisini kwake kuhemea chochote wakifikiri mkandarasi ana kisima kisichoisha. Aliwakatalia na hiyo ndiyo ilikuwa kazi yake ya mwishojapo barabara aliyotengeneza ilidumu miaka isiyopungua mitano ikiwa na hali nzuri. Watendaji wlimlalamikia kuwa amewanyima mapato ya kila mwaka kuijenga hiyo barabara mbali na kuwanyima chochote watati anajenga. Kwa hili, tunahitaji utendaji uliotukuka wa kudhibiti vitenda vya rushwa ya kulazimishwa! Bahati mbaya sana,hii ni saratani iliyojichimbia nchi nzima, kila ngazi ya uongozi. Lakini tunaweza kufanya kazi kubwakubwa tu bila shida na kwa kiwango cha kimataifa.

Sikubaliani na wewe kuhusu devolution. Mfumo huu ni mzuri sana na hakika unaleta maendeleo, ILA, kwa nchi ambayo kiwango chake cha maendeleo ni kikubwa kidogo. Pale ambapo asilimia kubwa ya watu ni waelewa wa haki zao na usimamizi ni wa haki. Hakuna vitisho, ujinga, na umaskini uliopindukia. Elimu ya uraia imeenea na na utawala wa sheria ni mfumo uliojichimbia. Decentralisation and Devolution katika mazingira yetu ya ujinga uliokithiri, ukosefu wa utawala wa haki na sheria, vitisho na ukandamizi wa haki, uteuzi wa watendaji kwa upendeleo usiozingatia vigezo na sifa, Chama tawala kushinikiza utendaji usiozingatia taaluma na maamuzi ya kisiasa yasiyokuwa na chembe ya taaluma ni JANGA kwa maendeleo.

Naomba niishie hapa
 
Serikali ya majimbo inafaa maeneo ya vita na yale yenye ukabila na ubaguzi wa rangi kama USA. Ndio maana mfumo huo uko Kenya ,nigeria,afrika kusini na marekani ambako ubaguzi wa rangi na kikabila ni mkubwa mno na unatisha.Wamarekani walipigana wenyewe kwa wenyewe muda mrefu na moja ya suluhisho la kumaliza hizo vita ilikuwa kugawa marekani katika majimbo ili kila bwana la vita lipate eneo lake ili wasiendelee kutwangana.Na kweli walipogawa hivyo kukatulia.Ndipo yakaibuka majimbo ambayo kiongozi wake ni kama raisi kwenye hilo jimbo.Afrika kusini nao baada ya kutwangana wee wakagawa majimbo ili kila bwana la vita liwe na eneo lake.Kenya pia baada ya kutwangana sana kikabila wakaunda katiba mpya inayogawa majimbo kikabila zaidi ukiondoa nairobi.Nigeria vivyo hivyo.Mfumo wa majimbo ni wa wahuni wakabila na wabaguzi wa rangi ndio maana Ulaya kwa wastaarabu hicho kitu hakipo.Na tanzania iliiga mfumo wa ulaya na sio ule wa kimaruhuni wa kimarekani.

Majimbo ndio yale yale yanayowakilishwa na wabunge Tanzania. Tuache politics devolution tayari tunayo through TAMISEMI
 
Serikali ya majimbo inafaa maeneo ya vita na yale yenye ukabila na ubaguzi wa rangi kama USA. Ndio maana mfumo huo uko Kenya ,nigeria,afrika kusini na marekani ambako ubaguzi wa rangi na kikabila ni mkubwa mno na unatisha.Wamarekani walipigana wenyewe kwa wenyewe muda mrefu na moja ya suluhisho la kumaliza hizo vita ilikuwa kugawa marekani katika majimbo ili kila bwana la vita lipate eneo lake ili wasiendelee kutwangana.Na kweli walipogawa hivyo kukatulia.Ndipo yakaibuka majimbo ambayo kiongozi wake ni kama raisi kwenye hilo jimbo.Afrika kusini nao baada ya kutwangana wee wakagawa majimbo ili kila bwana la vita liwe na eneo lake.Kenya pia baada ya kutwangana sana kikabila wakaunda katiba mpya inayogawa majimbo kikabila zaidi ukiondoa nairobi.Nigeria vivyo hivyo.Mfumo wa majimbo ni wa wahuni wakabila na wabaguzi wa rangi ndio maana Ulaya kwa wastaarabu hicho kitu hakipo.Na tanzania iliiga mfumo wa ulaya na sio ule wa kimaruhuni wa kimarekani.

historia ya kenya huifahamu hata kidogo unababanya tu. kulikuwa na majimbo kwa katiba ya kwanza ya kenya 1963.vita ilikuwa wapi wakati huo. unayafahamu majimbo 1963 ya kenya! uongozi mbaya ukaondoa majimbo wakati huo kwa sababu katiba ilikua dhaifu na mhuni yeyote angebadili vifungu kwa kirahisi! kenya present counties are based on 47 original admin districts at independence in 1963. hiyo historia yako ni potovu kwa raha zako tu. hamna ukweli!
 
Nakubaliana na wewe kidogo ila sikubaliani na wewe kwa hii devolution unayoipigia debe.

Kuhusu miradi mikubwa ya kitaifa, kutoa kipaumbele kwa local firms ni muhimu kwa kuendeleza uwezo wa ndani kujipatia uzoefu na ujuzi. Kikubwa hapa ni kiwango cha kazi tarajiwa hasa katika kutimiza "thamani kwa pesa". Ethiopia wanafanya hivyo na kwa ukweli, kampuni zao za ndani zimejijengea uwezo mkubwa sana. Bwawa kubwa la kutunza maji na kuzalisha umeme kwenye chanzo kimoja cha mto Nile linajengwa na wazawa. Huku kwetu tungeambiwa kampuni zatu hazina uwezo (Miaka 50+ ya uhuru.... a shame).

Nina mashaka na kampuni zetu kuwa na weledi (sio uwezo) wa kutenda kazi hizo. Wengi tumazoea ubabaishaji wa kutengeneza pesa nyingi kwa kazi kidogo. Labda kwa kuwa wazawa wanaombwa rushwa nyingi kuliko wageni. Kuna Mkandarasi mmoja mzawa alipata kazi ya kujenga barabara moja ya mtaani urefu wa km 1.5. Aliniambia kuwa watendaji wa halmashauri walikuwa hawaishi ofisini kwake kuhemea chochote wakifikiri mkandarasi ana kisima kisichoisha. Aliwakatalia na hiyo ndiyo ilikuwa kazi yake ya mwishojapo barabara aliyotengeneza ilidumu miaka isiyopungua mitano ikiwa na hali nzuri. Watendaji wlimlalamikia kuwa amewanyima mapato ya kila mwaka kuijenga hiyo barabara mbali na kuwanyima chochote watati anajenga. Kwa hili, tunahitaji utendaji uliotukuka wa kudhibiti vitenda vya rushwa ya kulazimishwa! Bahati mbaya sana,hii ni saratani iliyojichimbia nchi nzima, kila ngazi ya uongozi. Lakini tunaweza kufanya kazi kubwakubwa tu bila shida na kwa kiwango cha kimataifa.

Sikubaliani na wewe kuhusu devolution. Mfumo huu ni mzuri sana na hakika unaleta maendeleo, ILA, kwa nchi ambayo kiwango chake cha maendeleo ni kikubwa kidogo. Pale ambapo asilimia kubwa ya watu ni waelewa wa haki zao na usimamizi ni wa haki. Hakuna vitisho, ujinga, na umaskini uliopindukia. Elimu ya uraia imeenea na na utawala wa sheria ni mfumo uliojichimbia. Decentralisation and Devolution katika mazingira yetu ya ujinga uliokithiri, ukosefu wa utawala wa haki na sheria, vitisho na ukandamizi wa haki, uteuzi wa watendaji kwa upendeleo usiozingatia vigezo na sifa, Chama tawala kushinikiza utendaji usiozingatia taaluma na maamuzi ya kisiasa yasiyokuwa na chembe ya taaluma ni JANGA kwa maendeleo.

Naomba niishie hapa

Devolution tayari tunayo in a a form of decentralized govt wenyewe tunaiiita TAMISEMI ila tatizo siyo max japo naelewa wanaruhusiwa kujitawala kwa almost kilakitu

Kuhusu rushwa nimesema ifanyike independent oversight lakini tunaweza sana ila tunajiendekeza tuuu
 
Mimi mainstream kila jimbo au wilaya liwe na development and. Economic plan Yao. Nathaniel this is what January Makamba has tried to do in Bumbuli Dukakis success rate yake
 
historia ya kenya huifahamu hata kidogo unababanya tu. kulikuwa na majimbo kwa katiba ya kwanza ya kenya 1963.vita ilikuwa wapi wakati huo.

Majimbo pia ya katiba ya 1963 yaligawanywa kwa misingi ya kikabila pampja na kuwa hakukuwa na vita.Nimesema majimbo yanafaa kwa watu wakabila na wenye vita nyingi za ndani.Kenya 1963 walikuwa na ukabila ambao upo hadi leo baadaye wakawa na vita za kikabila.Hivyo majimbo kwao ruksa ili wakenya waendelee na ukabila vizuri.Ndio maana hata mfumo wa elimu kenya sasa hivi unasisitiza ukabila kwa kusema kuwa shule za msingi vijijini watoto lazima wasome somo la lugha ya kabila hilo ambapo shule hiyo ipo bila kujali wewe ni mtoto ambaye si wa kabila hiyo ambaye mzazi wako kaja kufanya kazi eneo hilo toka kabila lingine.
 
Kwani mps wetu si wanawakilisha majimbo yao? Let's stick with the issues za msingi .

Bumbuli na Kule singida kwa dewji wamefikia WaPi?
 
Majimbo pia ya katiba ya 1963 yaligawanywa kwa misingi ya kikabila pampja na kuwa hakukuwa na vita.Nimesema majimbo yanafaa kwa watu wakabila na wenye vita nyingi za ndani.Kenya 1963 walikuwa na ukabila ambao upo hadi leo baadaye wakawa na vita za kikabila.Hivyo majimbo kwao ruksa ili wakenya waendelee na ukabila vizuri.Ndio maana hata mfumo wa elimu kenya sasa hivi unasisitiza ukabila kwa kusema kuwa shule za msingi vijijini watoto lazima wasome somo la lugha ya kabila hilo ambapo shule hiyo ipo bila kujali wewe ni mtoto ambaye si wa kabila hiyo ambaye mzazi wako kaja kufanya kazi eneo hilo toka kabila lingine.

you are brain washed na fikra za kiarabu na kimagharibi. nimekuliza unayafamu majimbo 1963. hukujibu sababu haujui. kenya ilikua na maeneo 8 ya kiwa kabila tofauti kwa hayo majimbo. jimbo la eastern lilikua na makabila zaidi ya 15. Elimu ya kenya ni mojawapo ya elimu bora africa. tembelea uzi hapa JF biashara za kitanzia kitafuta kuajiri watz waliosoma kenya!!! tembea dunia uelimike. wachina wanatumia lugha yoa ya mama na zipo lahaja tofauti za kichina. kuna unity in diversity. japan lugha ya mama nk wameendelea. kutumia lugha za kikoloni kizungu, kiarabu na hybrid yake kiswahili sio kusema wewe ni mtaarabu.
 
East African Eagle.., hakutakiwa kuchangia kabisa Uzi huu..., ni mweupeeeee....! Anajua anachojua tuu..., alichofundishwa na sheikh wake tuu basi..! Ukiona mtu yuko front kabisa ku support ccm na wizi wake..., rudi uangalie elimu yake na imani yake...
Ukisha pata jibu, MDHARAU....!
 
devolution is the best kati ya mifumo yote ya uongozi. kupunza mamlaka kati na kuyazambaza pembeni pamoja na raslimali. wachia wenye nchi wamua jinsi ya kutawaliwa na kutekeleza miradi! kunazo changamoto lakini ukilinganisha na mifumo mingineo, majimbo ipo juu!! chukua mfano wa Mandera county, kenya kwa miaka hamsini huduma za afya ni kama hazikuwepo, in just two years baada ya kuwepo majimbo wameajiri top doctors, refurbished the hospital na leo hii wana wemekarabati rami ya kwanza in their county. pia wameweza kujenga taasisi ya kiafya kwa program andamizi.

for 50 years na central govt, almost zero in some areas in kenya!!! in two years ya majimbo total difference!

The governor said the government is renovating old health centres and equipping them with modern facilities. He said only 10 out of 52 health facilities were operational when he took office office but they have been renovated and are fully operational. "The county government has employed 265 trained health personnel, increasing the number by 200 per cent,"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom