Bila kusahau kumwogesha na dawa mfano Tixfix kwa bomba la kupress, hapa unaondoa viroboto na magonjwa ya ngozi hasa masikioni.
Kwakuongezea mbwa mzuri wa ulinzi hua ni majike hivyo ili kumfanya akocentrate kwenye ulinzi kuna dawa za kutotakia madume za sindano na vidonge, hapa atakua anakula na afya nzuri pia bila matatizo ya Kuhudumia mbwa wengi.