Dah niliipenda sana Game hii ya Grand Prix na Lotus Mashindano ya Magari Unachagua 10 races na barabara,nili enjoy sana ,sikumbuki mwaka gani nilitumia,enzi hizo tulitumia window 98.
Lakini hii imeonyesha wale wanaosema kwamba Lewis Hamilton anashinda kwa sababu ya Mercedes performance sio kweli. Kama ingekuwa ni hivyo Bottas asingemaliza karibu na Hamilton.