Sijui pengine kweli, kwa mwendo huu Ham atakuwa best driver sooner than expected .... .... wazungu hawapendi mafanikio ya mtu mweusi. lakini hata Bottas analalamika gari lake lina joto sana ..... ..... since last two week analalamika .... .. . Ham lead now 12 seconds