Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 2,233
- 3,144
Ile lap ya mwisho imeniogopesha kweli na Asante kwa Alonso alivyogopa kumpa nafasi Max
Uzi upo
Matairi yalikuwa yashaisha, strategy bado kidogo iwageuke.Ile lap ya mwisho imeniogopesha kweli na Asante kwa Alonso alivyogopa kumpa nafasi Max
Alimziba LH pia.Alonso kapokonywa point 2 kwenye leseni yake ya udereva kwa kumziba max vesterpen[emoji15][emoji15]
Reliability problem....Mambo yalihalibika kabisa kwa vettel asubuhi ya leo. Mbio zake za ubingwa zimezikwa rasmi leo hii. Labda mpaka mwakani tena...
Nakumbuka alonso aliwahi kuzungumza kuwa vettel hataweza kushinda ubingwa kwenye ferrari. Labda ataweza kushinda race chache. Lakini si ubingwa. Nimeanza kuyaamini yale maneno...