Oooh Mimi sio Shabiki sanaaa wa Magari,ila sikujua Kama kuna Thread ya Magari yanayofanyika Monaco humu!Thats Good!
Alonso,Hamilton,nk,Mji tuu wa Monaco ndo furaha Yangu.umenikumbusha mbali sana kipindi Fulani!Its a Monaco Rally!Ni Mji wa kipekee Europe!Naishia hapo nisije nikaanzia Mada tofauti!
It's me Monaco!
Lewis Hamilton bdo anaongoza masafa msimamo bdo haujabadilika katika wale sita wa juu na hakuna ajali mpaka muda huu...ilaa Lewis Hamilton ni anakimbia sana kuliko mshirika wake Nico rosberg Lewis anaongoza kwa sekunde 4.587 na sasa ni mzunguko wa 29/78
Mamaa its not confirmed kama lewis hamilton anatoka na huyo model ila kendall amedai kuwa.ye ni shabiki mkubwa wa LH na hapa nahisi ye kendall na wenzake watakuwa katika Podium ya washindi
Kimi raikonen kapanda nafasi ya 5 huku Daniel Riccardo akishuka hadi ya 6...bdo LH anaongoza mbio za monaco kwa sekunde 8.314 dhidi ya mpinzani ake Nico Roseberg
RACE IMEANZA MOJA SASA NR KIONGOZI AKIFUATWA NA LH hapa ni balaa lewis alikuwa na sek 21 zaidi ila ajali ikatokea na magari yote yakawa nyuma ya safety car
Yaani Mkuu nimeshikwa na donge sana. Nilijua leo LH anashinda maana alikuwa ameweka gap kubwa, lakini baada ya ile ajali nikabaki kushangaa tu LH kutoka nafasi ya kwanza hadi ya tatu huku zikiwa zimebaki 7 laps only. Kwa kweli imeniudhi sana kuona kaburu anashinda wakati hakustahili kushinda.