Update za leo duh! Wekeni basi hata standings from Sochi
Update za leo duh! Wekeni basi hata standings from Sochi
Alonso aache kisebusebu... yeye ni two times world champion! Kumekuwepo na fununu muda mrefu na amekuwa akikanusha tu! Lakini baada ya Singapore GP inaonyesha wazi Alonso ataondoka Ferrari!
Kuondoka kwake Ferrari kwa upande wake atakuwa amefeli, kwani pamoja na uzoevu wake ameshindwa kutwaa ubingwa akiwa na Ferrari.. Mbaya zaidi naona hata uongozi mpya wa Ferrari haupo pamoja nae... Na hili litakuwa zimwi kwake popote pale atakapokwenda ukiondoa kujiunga na Mercedes ambao sasa wamejua uwezo wa Lewis baada ya overtake yake ya kushinda pale Singapore...
Alonso aondoke tu Ferrari, kwanza tabia yake kuchonga juu ya team mate wake imetosha sasa! Itachukua muda kwa Ferrari kuwa in top three cars, awepo dereva mwingine ambaye ataweza kurejesha heshima ya Ferrari zaidi ya huyu Alonso.
Kosa ambalo atakuja kujijutia ni iwapo hatohama Italy msimu huu.. kwani ni wazi yeye sio Developer and Driver bali ni devera tu! Na kama ni dereva tu, basi anahitaji gari kamili kwa kuendesha tu, bila kuwepo na mchango wake wowote hata wa kuchagua aina ya matairi!
waze wa f1....weekend hii tutakuwa kule Austin Texas kwa ajili ya USA GRAND PRIX.....sisi #TeamHamilton tunatarajia kujiweka nafasi nzuri kuchukua ubingwa.
[h=4]The 2014 United States GP in a nutshell[/h]Track: Circuit of the Americas. Permanent Circuit.
Race start time: 8pm UK time Sunday (2pm local).
Laps: 56.
Track length: 5.513 km.
Tyre allocation: Medium (white) and soft (yellow).
DRS Zones: Two with separate detection points – pit straight and between turns 11 and 12.
Driver steward: TBA.
Lap record: Sebastian Vettel - 1:39.347 (Red Bull; 2012).
2013 pole: Sebastian Vettel - 1:36.338 (Red Bull).
cc: Kibunango Mourinho DMussa Pazi Wacha1
Weekend full of action! Kibunango naona FA14 ameweka madai ya severance kwa Ferrari. Yawezekana asifanye vizuri kwenye race zilizobakia.
DR3 najua hatoniangusha uhondo uko pale pale.