Aagreasive driving ndiyo tunayotaka kuiona
Pale ni ulingoni , kwa hiyo usitegemee mtu kuwasha indiketa kuomba kukupita...
Alonso anakubali kuwa Hamilton ni mpinzani mgumu kwenye race na sio venginevyo kama unavyodai.
Ugumu wa Hamilton, upo wazi na pengine anapenda kuoneka hivyo hata mbele ya madereva wenzake! Hata jana kwenye German GP alionyesha tabia hiyo pale alipotaka kumpita Jenson Button...
Awali kabla ya tukio la Button, ambapo yeye binafsi ndio aliathirika, aliweza kuiharibu front wing ya Kimi... na baadae kugusana na Sutil..
Mifano hii haitoi picha kama Hamilton is the best than labda kuwa ni mgumu tu!
you are right...hata ile front wing damage imemuathiri na safety car ingeingia hata Rosberg cha moto angekiona
Mods naomba msiunganishe hii muache watu wajadili kwa faida ya wapenda formular 1
Mimi binafsi kwa mtazamo wangu naona Hamilton hana mpinzani ndio maana wapinzani pamoja na team mate wake wanahangaika kumhujumu ili asishinde
Wewe je unakubaliana nami??
Hiyo damage aliitafuta mwenyewee, kuna muda nilidhani labla hataki kumaliza ile race.
Kwa hiyo unadhani formular 1 unaendesha huku umepiga kishoka na kuvuta sigara?kweli kabisa....na mimi nilikuwa naona hivyo hivyo...he is too aggressive hata sehemu isiyohitaji nguvu nyingi yeye anaforce tu....watu kama button angewasubiri kwenye straight line anawapita bila mikwaruzo!
Umewahi kutembea au kuishi Ulaya?Nani anamuhujumu Hamilton? Na hizo hujuma ni zipi maana tusije tukaanza kujadili conspiracy hapa. Kama kuna kitu kina muhujumu Hamilton ni kichwa chake mwenyewe
Umewahi kutembea au kuishi Ulaya?
Naomba nijue rangi ya ngozi yako ndio nikufafanulie...
Inaniuma unaposhindwa kuelewa kuwa hamilton anafanyiwa hujuma sababu ya rangi yakeMkuu hii ni fallacy, "argumentum ad populum"
Mbona maswali niliyouliza yako wazi kabisa?
Inaniuma unaposhindwa kuelewa kuwa hamilton anafanyiwa hujuma sababu ya rangi yake
Hungarian GP: Dondoo
Lewis Hamilton ameshinda mara mbili katika circuit hii, na iwapo tunajali statistics, ni kwamba kuna uwekano wa Hamilton kushinda tena mwaka huu!
Iwapo itakuwa hivyo, basi itakuwa ni year on year hat-trick..
Vita ya maneno imeshaanza, na kama kawaida Rosberg akitamba kutojali sana kurace katika Hamilton track! Hili si la kushangaza sana katika majitambo, aidha upande wa Ferrari Alonso amemwambia Kimi avute soski, kwani timu ipo hatarini kupoteza nafasi yake ya tatu...
Nimegundua kuwa wengi hapa mnashabikia F1 kama mpira.Hungarian GP: Dondoo
Lewis Hamilton ameshinda mara mbili katika circuit hii, na iwapo tunajali statistics, ni kwamba kuna uwekano wa Hamilton kushinda tena mwaka huu!
Iwapo itakuwa hivyo, basi itakuwa ni year on year hat-trick..
Vita ya maneno imeshaanza, na kama kawaida Rosberg akitamba kutojali sana kurace katika Hamilton track! Hili si la kushangaza sana katika majitambo, aidha upande wa Ferrari Alonso amemwambia Kimi avute soski, kwani timu ipo hatarini kupoteza nafasi yake ya tatu...
Nimegundua kuwa wengi hapa mnashabikia F1 kama mpira.
Hamilton kashinda mara nne na jumapili itakuwa ya tano
Roseberg atapata ajali au gari yake itafail breaks, kwa hiyo zile point 14 zitafutwa na tutaongoza
Nadhani sote tutakutana hapa jumapili mchana na ningeomba tuwe hapa live wakati mpambano unaendelea ...sawa mrithi wa sheikh yahya....
Nadhani sote tutakutana hapa jumapili mchana na ningeomba tuwe hapa live wakati mpambano unaendelea ...
Nimegundua kuwa wengi hapa mnashabikia F1 kama mpira.
Hamilton kashinda mara nne na jumapili itakuwa ya tano
Roseberg atapata ajali au gari yake itafail breaks, kwa hiyo zile point 14 zitafutwa na tutaongoza
Sio siri roho imeniuma sana, mpaka nimetamani kulia.Sijui ndio ile conspiracy yako iko kazini? Hamilton huyoo kwa kheri baada ya gari lake kuwaka moto kabla hata hajaset time kwenye Q3