Uzuri wa hii circuit ina long straights, kwahiyo opportunities za kuovertake ni nyingi.
Kwa mtakao enda, ukipata seat Grandstand 11 na 12 (hapo jirani na kona namba 2) ni pazuri panasababishaga sana drama na ajali. Panaitwaga Senna curve.
Team RB Team Verstappen. Kesho tunakaa pole.