ubaya wa mercedes figisufigisu zao zipo from within currently wamekuwa wakimpa sana shavu rosenberg ila tusubir kesho LH afanye Yake
ubaya wa mercedes figisufigisu zao zipo from within currently wamekuwa wakimpa sana shavu rosenberg ila tusubir kesho LH afanye Yake
Yeah ila kama unakumbukumbu kilichotokea Sochi zile mechanical issues za LH zilikuwa kama part and percel za mercedes strategy kufanya NR atusue japo Wolff came clean bado sijawa na iman nowHamilton namkubali toka yupo MClaren mercedes huyu jamaa kaibuliwa na Ron Dennis pale na angeweka rekodi ya kuwa dereva wa kwanza kushinda ubingwa wa dunia kama yasingekuwa makosa ya Alonso.pia jamaa style yake ya kuendesha inatafsiriwa kama ya Ayrton senna mbrazili aliyekufa kwenye F1 monza italia '94. Ni dereva anayeshika rekodi ya kushinda japo mchezo mmoja kwa mwaka toka aingie kwenye F1 2007
Hamilton matatizo hayajaanza leo pale mercedes 2014 kashinda ubingwa kiubishibishi tu ila kila mara gari ilikuwa na matatizo mpaka mwenyewe akasema why kila mara mimi tu? Watu wakasema timu ya ujerumani wanataka wamfanye ashinde dereva mjerumani.mwaka jana kidogo afadhali ila mwaka huu yamempata mengi sana Mercedes ni timu ya ujerumani lakini ipo uingereza kama Redbull ni ya Austria lakini ipo pale uingereza kiujumla uingereza kuna MClaren honda wiliams force india na mercedes lakini nyengine sizikumbuki labda sauber. Mwaka huu kuna naamini game yote imepangwa aahinde Rosberg.alinifurahisha Nico Rosberg baada ya kule Canada Hamilton kumsukuma nje akasema mara ijayo itakuwa zamu yake yeye Lewis kutoka nje wakaenda Austria akataka kumsukuma mwenzake ikala kwake.Hamilton namkubali nimeanza kumfuatilia jamaa toka 2007 akituliza kichwa kwenye single round kwa madereva wa sasa hakuna anayempata.muone vettel kashinda ubingwa mara nne na redbull lakini na Ferrari hakuna chochote mwaka huu huenda akamaliza na 0 bila kushinda hata race moja.mwaka 2014 pia vettel hakushinda hata race moja.alipata zali tu na redbull vinginevyo angekuwa empty.hamilton toka aingie kwenye F1 ameshinda japo race 1 ni rekodi kubwa.Yeah ila kama unakumbukumbu kilichotokea Sochi zile mechanical issues za LH zilikuwa kama part and percel za mercedes strategy kufanya NR atusue japo Wolff came clean bado sijawa na iman now
finally the day is hereHamilton matatizo hayajaanza leo pale mercedes 2014 kashinda ubingwa kiubishibishi tu ila kila mara gari ilikuwa na matatizo mpaka mwenyewe akasema why kila mara mimi tu? Watu wakasema timu ya ujerumani wanataka wamfanye ashinde dereva mjerumani.mwaka jana kidogo afadhali ila mwaka huu yamempata mengi sana Mercedes ni timu ya ujerumani lakini ipo uingereza kama Redbull ni ya Austria lakini ipo pale uingereza kiujumla uingereza kuna MClaren honda wiliams force india na mercedes lakini nyengine sizikumbuki labda sauber. Mwaka huu kuna naamini game yote imepangwa aahinde Rosberg.alinifurahisha Nico Rosberg baada ya kule Canada Hamilton kumsukuma nje akasema mara ijayo itakuwa zamu yake yeye Lewis kutoka nje wakaenda Austria akataka kumsukuma mwenzake ikala kwake.Hamilton namkubali nimeanza kumfuatilia jamaa toka 2007 akituliza kichwa kwenye single round kwa madereva wa sasa hakuna anayempata.muone vettel kashinda ubingwa mara nne na redbull lakini na Ferrari hakuna chochote mwaka huu huenda akamaliza na 0 bila kushinda hata race moja.mwaka 2014 pia vettel hakushinda hata race moja.alipata zali tu na redbull vinginevyo angekuwa empty.hamilton toka aingie kwenye F1 ameshinda japo race 1 ni rekodi kubwa.