ricky eliud
Member
- Dec 21, 2012
- 15
- 1
jaman mi na Phy F Chem E Math E G/s F, je! Naweza kupata chuo? yan inawezekana nikaenda chuo kusotea degree? au ndo imekula kwangu? naomba msaada wenu wanajamii
sifa za kwenda chuo huna... principle mbili unazo lakini haujafka point 2.5.. labda itokee huruma ya rais
Labda SUA,UDOM and others(vyuo vya kata kama SAUT,KIU) lakini sio.....