Pole ndyo ukakazane watoto wako wasije teseka kama ww... Ila unaweza ukakaza na kuwapita hata hao walioko shule toka mwez March na ndio mana hata feza Kuna two na three
haya dogo endelea kujipa moyo ,,,mwenyewe na hicho kidivision 3 yako unajiona unajuaa ,,,,bwana mdogo hiyo level wenzako tulikuwa tangu 2010 ss usibishane na kaka zako.