Form 6 wote someni hapa

Form 6 wote someni hapa

Qj_

Senior Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
157
Reaction score
155
Ushauri Wa Kuchagua kozi (program) ya kusomea

Napenda Kuwauunganisha Form 6 leavers na Diploma holder Katika Utambuzi Yakinifu wa kozi za kuchagua katika level ya degree
> Aina ya kozi nzuri ya KUSOMA kutokana na Mchepuo wako wa A-level na kwa diploma holder
> Marketable course in terms of Employment opportunities
> Future market ya kozi husika hasa Ktk nchi inayoendelea Kama Tanzania
> Changamoto husika ya kozi kwa vyuo mbalimbali Tanzania
> Competition iliyopo Katika uchaguzi wa kozi Mbalimbali
> Pia hakikisha unasoma vizuri TCU guide book

Kwa ushauri zaidi unaweza kunitext WhatsApp 0764531080 au unaweza kupiga namba 0718632536 au 0764531080

Kwa mlio soma PCB mnaweza kuomba kozi (program) zifuatazo
1. Doctor of Medicine (MD/MBBS

2. Doctor of Dental Surgery (DDS)

3. Bachelor of Pharmacy (BPharm)

4. Bachelor of Medical Laboratory Sciences (BMLS)

5. Bachelor of Science in Radiation Therapy Technology (BSc RTT)

6. Bachelor of Science in Prosthetic and Orthotics (BSc PO)

7. Bachelor of Science in Nursing (BScN)

*Ushauri wa kozi za kuchagua kwa watu walio soma combination za EGM,ECA,HGE*

1.Bachelor of Arts in Economics

2.Bachelor of Arts in Economics and Sociology

3.Bachelor of Commerce in Marketing

4.Bachelor of Commerce in Accounting

5.Bachelor of Commerce in Entrepreneurship

6.Bachelor of Commerce in Tourism and Hospitality Management

7.Bachelor of Science in Tax Management

8.Bachelor of Arts in Procurement and Supply Management

9.Bsc in Statistics

10.Bsc in Business information system

*Ushauri wa kozi za kuchagua kwa watu walio soma combination ya PCM,PGM*

Bachelor Degree in Mechanical Engineering

Bachelor of Electrical & Electronics Engineering

Bachelor of Science in Electrical Engineering

Bachelor of Science in Computer Engineering and Information Technology

Bachelor of Science in Chemical and Processing Engineering

Bachelor of Science in Computer and Information Security

Bsc in Civil Engineering

Bachelor of Science in Renewable Energy Engineering

*Ushauri wa kozi za kuchagua kwa watu walio soma combination za arts kama vile HGL,HKL,HGK*

Bachelor of Education (Special Needs)

Bachelor of Arts in Tourism and Cultural Heritage

Bachelor of Arts in Oriental Languages (BA in Chinese)

Bachelor of Arts in Project Planning, Management and Community Development

Bachelor of Arts in Development Studies

Bachelor of Laws

Bachelor of Education in Guidance and Counseling

Bachelor of Arts in Translation and Interpretation

Huu ni ushauri tu so sio lazima uufuate pia make sure kwamba unachagua kozi ambayo ukienda chuo utaweza kuimudu au chagua kozi ambayo utaweza ku compete kwenye soko la ajira baada ya kumaliza elimu yako ya chuo kikuu, pia usichague kozi kwa kufuata mkumbo wa watu au kwakua rafiki yako ka apply kozi flani basi na wewe unataka uka some hiyo hiyo kozi, kuna wengine wanataka tu kusoma mjini mfano wengi hupenda kusoma Vyuo ambavyo vipo dare s salaam kwahiyo kila mtu anataka kusoma kozi yoyote ile katika chuo chochote kile as long as icho chuo kipo dar es salaam so kila mtu achague kozi kwa kufuata malengo yake mwenyewe, chonde chonde usichague kozi au chuo kwa kufuata mkumbo wa watu hasa marafiki zako ukifanya hivyo utateseka sana ukija chuo kikuu.

Karibuni sana Chuo Kikuu.
By Frank.

Kwa Pcm,pgm ongeza hizi
1.Land mgt and valuation
2.architecture
3.Land saveying

Kwa upande wa HGE,ECA,HGK,HKL,HGL,Egm kozi zote ulizotaja Hazina dili au tuseme ni ngumu kutoboa.
Kozi za PCB ulizotaja ni nzuri.
 
Kuna dogo langu moja wa kike HGL ana DDC kwa ardhi pale kozi gani valuable na potential ambayo km akifanya vzr ataweza kutoboa
 
Kwa Pcm,pgm ongeza hizi
1.Land mgt and valuation
2.architecture
3.Land saveying

Kwa upande wa HGE,ECA,HGK,HKL,HGL,Egm kozi zote ulizotaja Hazina dili au tuseme ni ngumu kutoboa.
Kozi za PCB ulizotaja ni nzuri
VP kuusu quantity surveyy???
Kwa Pcm,pgm ongeza hizi
1.Land mgt and valuation
2.architecture
3.Land saveying

Kwa upande wa HGE,ECA,HGK,HKL,HGL,Egm kozi zote ulizotaja Hazina dili au tuseme ni ngumu kutoboa.
Kozi za PCB ulizotaja ni nzuri.
VP kuusu quantity surveyy???
 
Hivi majibu ya waombaji wa second round yataanza kujibiwa tarehe ngapi?
 
Vijana tuwen makini na haya maisha la sivyo'''''mtakuja jutia
 
Back
Top Bottom