Forklift operator ombi la kazi

Forklift operator ombi la kazi

Criss donatus

Member
Joined
Jun 6, 2021
Posts
18
Reaction score
10
Wanajamii mimi forklift operator elimu kidato Cha sita pia ni dereva naombeni msaada yeyote anayejua kuna kiwanda au warehouse au kampuni yoyote ambayo nkienda kuomba naweza kupata kazi aniambie. Iwe Dar, Pwani, Tanga, Moro mkoa wowte nafika 0623736996 mwenye connection.
 
Wanajamii mimi forklift operator elimu kidato Cha sita pia ni dereva naombeni msaada yeyote anayejua kuna kiwanda au warehouse au kampuni yoyote ambayo nkienda kuomba naweza kupata kazi aniambie. Iwe Dar, Pwani, Tanga, Moro nafika 0623736996 mwenye connection
Unapotafuta kazi usiwe na mipaka ya mikoa we sema popote kambi

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Kajaribu Tanga Port niliona kumeingizwa forlift mpya
 
Saw mkuu ngoj ntafte connection
Narudia tena nenda tanga port pale mitambo hiyo imeletwa na mingine mingi bandari inatanuliwa ukipija pale ..unaangalia na kule chongoleni kwenye bomba la mafuta
 
Narudia tena nenda tanga port pale mitambo hiyo imeletwa na mingine mingi bandari inatanuliwa ukipija pale ..unaangalia na kule chongoleni kwenye bomba la mafuta
Saw kaka Kuna jamaa yang nazngumza naye kuhusu tanga kaka nashukul apa nasubil interview kwa mchina jumamoc alaf naenda mwenyw tanga nashukul San ndugu yang
 
Saw kaka Kuna jamaa yang nazngumza naye kuhusu tanga kaka nashukul apa nasubil interview kwa mchina jumamoc alaf naenda mwenyw tanga nashukul San ndugu yang
umesomea kozi iyo muda gani chuo gani nilishawahi taka kuisoma last month baada ya kuona upanuzi wa bandari zetu hizi a
 
Ujenzi wa bomba la mafuta naona sahiv rasmi unaanza ukipita chongoleani watu wapo bize karibu sana tanga kama ukifanikiwa apa umekula shavu hadi ajira za moja kwa moja asee
 
Ujenzi wa bomba la mafuta naona sahiv rasmi unaanza ukipita chongoleani watu wapo bize karibu sana tanga kama ukifanikiwa apa umekula shavu hadi ajira za moja kwa moja asee
Kaka jumapil mapema nko tanga
 
Ujenzi wa bomba la mafuta naona sahiv rasmi unaanza ukipita chongoleani watu wapo bize karibu sana tanga kama ukifanikiwa apa umekula shavu hadi ajira za moja kwa moja asee
Asnt kaka kwa kunifungua kuhusu coz ukinpgia kwa namba hyo ntakupa maelekezo A to Z
 
Back
Top Bottom