hapo kwenye red uwa kunanitatiza..hivi unasahau vipi?..its not an easy task to forgive a person, cause watu wanasemaga nimekusamehe ila fanya kosa kidogo tu, yatarudi hadi ya mwaka 92, but once you TRULY do forgive, the changes you encounter are immense...i learned to forgive and forget, i never thought it was possible in the past but I thank God nimejifunza
hapo kwenye red uwa kunanitatiza..hivi unasahau vipi?..
hapo kwenye red uwa kunanitatiza..hivi unasahau vipi?..
I got u..The memories still remain we jst dont allow dem to hurt us anymore..right??..yani some things are unexplainable...you forget that pain and hurt you felt, yani inakuwa back of your mind kabisa, , tafkiri haikutokea,haikusumbui wala nini...only by prayers can this be achieved, ni kusali
I got u..The memories still remain we jst dont allow dem to hurt us anymore..right??..