siasa ya maendeleo
Member
- Jul 29, 2015
- 47
- 14
Habarini wadau, mimi ninafanya biashara ya forex. Ukweli ni kuwa biashara ya forex ni biashara ngumu na 75% to 90% ya forex traders huwa wana fail. Sasa kwa kuwa saidia watanzania wenzangu mimi nimeanzisha biashara ya kutuma signal kwa bei ya 30,000 kwa mwezi. Nitakuwa natuma kila siku signal moja ya pair ya EURUSD kabla ya saa 4 kamilli na nikikutumia unatakiwa hapo hapo uanze analysis ikiwezekana ui impliment kabla ya saa 4 kamili. Signal yangu success rate yake ni 4 or all five days of the week. Ukiwa interested week ya kwanza nitakupa ofa ujaribu. Ukiona kweli signal yangu ni ya ukweli week ya pili unaanza kulipia.