Lengo ni kusaidiana, sio kupata wadau... Ila ushauri wako ni mzuri. Thank you bossWw jamaa huchoki na training zako? Ngoja nikupe mbinu ya kupata wadau.
Uwe unatoa free analysis na signals humu jf kama signals za ukweli watu watakutafuta wenyewe ila akaunti zikiungua utaitwa tapeli tu.
Montreal na The Italic wamekuja kivingine kuwatapeli watu.Yale yale ya upigaji
jiko la gesi au la kuniDawa yenu Iko jikoni nyie forex
OvA
hahaa gesi itaisha sis ni non stopGesi mzee baba.....
Ova