Forex trading coach and mentor

mentors ni upuuzi. aingie chimbo kiume ajifunze. hayo ndiyo mafanikio.
 
Pole yako unafanya ubashiri wa mwelekeo wa bei, unategemea utaendesha maisha yako na kupata mafanikio, walau ungekuwa unafanya biashara walau ya mtaji wa 100k kwa miaka nane, leo ungekuwa mbali bro, acha ujinga zinduka.🀯
 
mimi nilitumia zaidi ya miaka 6 kujifunza tu. huyu miaka 8 ni kwamba alikuwa ana trade kabisa. ukipiga hesabu alijifunza kwa miezi michache akadhani amejua, akaingia kichwa kichwa kwenye trading, hilo lilikuwa bonge la mistake alifanya.
Lingekuwa swala la kulangua mchele mbea na kuusafirisha au vtunguu singida ingekuchukua miezi kadhaa. Fanyeni biashara halisi acheni na forex/betting in other side.
 
Pole yako unafanya ubashiri wa mwelekeo wa bei, unategemea utaendesha maisha yako na kupata mafanikio, walau ungekuwa unafanya biashara walau ya mtaji wa 100k kwa miaka nane, leo ungekuwa mbali bro, acha ujinga zinduka.🀯
Waafrika weusi tuna ugomvi sana na paper economy, the dunia inasonga mbele paper economy ndio ina run real economy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…