Forex: Biashara Haramu kwa Muislamu

Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba,kwakuwa wazungubwaliokuleteeni ukristo wanafanya vizuri kwenye mambo ya "sodoma na gomora" hivyo imekuwa halali kwenu kuoana?
Arrant nonsense! Akili za kibabu hizi ndio zimeandika hii comment, ni wapi uliona vitabu vya miongozo vikiruhusu hicho unachokisema? Na haya mamabo ya kuoana jinsia moja unajua yameanza lini kuruhusiwa hata magharibi, kama sio miaka ya hivi karibuni?

Acha kuwa na akili za kijima
 

Mkuu, mbona una jazba?? Naona umeumia sana sana, pole kaka, ila ni hiviiiii: sisi kama Waislamu tunafuata Quran na Sunna tu, hatuangalii eti kwa sababu serikali inafanya speculation basi tuache muongozo kutoka kwa Mwenyezi Mungu kisa Serikali inafanya speculation..


Mkuu unataka tufuate Dubai kisa kuna maSkyscraper sio πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. teh teh teh. Sisi tunafata sheria za Mwenyezi Mungu hatufuati watu kaka.. Umeelewa???
 
Endekezeni udini kwenye utafutaji mfe masikini
 
Kaka bora kufa masikini kuliko kufa TAJIRI WA MALI ZA HARAMU..
Haramu ni tafsiri tu vitabu vimeandikwa na watu tu hakuna siku ilinyesha mvua ya biblia wala quran vyote vimeandikwa na binadamu tu maisha yenyewe ya kiTz vi mishara vidogo kuishi ki halali vigumu
 
Kama unajua msaada unatokana na mali ya haramu kataa usipokee.., na kwa nini uwe mtu wa kupokea misaada?? Uislamu umesisitiza kutoa sadaka sio kupokea sadaka.., Usiwe mpokeaji bali kuwa mtoaji
swali una toa wapi kwa nan? na kama una mpa muislam mwenzio ina maana hasipokee kisa ana takiwa kutoa sio kupokea?
 
Futa kaul yako iliyojaa propaganda za kikatoliki ....et mashaykh weng hawajasoma. ..kwa takwimu gan na unajua n vipimo vipi vya kisheria kumtambua aalim ....au shaykh unakusudia wazee weng wa tz hawana elimu ....
 
Kwani mifano uliyoitoa ya Tunisia uliipata kitabu gani?
Tatizo lenu mmesoma lakini hamkuelimika
 
Riba ni kile kiasi (fedha/mali) unachopata baada ya kufanya biashara (iwe ya kukopesha ama nyingine) , tofauti na mtaji wako wa awali. Najua wengi tafsiri yenu inaishia kwenye riba ya mkopo. But mkuu, mimi naheshima imani yako.
biashara =inazaa Faida usipotoshe
 
riba ni kiasi kinachoongezeka katika mbadilishano wa bidhaa zinazofanana/kiasi ujazo ,urefu nk.
mfano kilo moja ya chumvi kwa kilo Tatu/ sukari kilo moja kwa tano/ pesa sh 3000 kwa sh.5000 bila kujali mda.
 
Doh!
Ingawa hata Saudia wanacheza sana huu mchezo..


Ila nadhani wengi watashawishika tu kama utawapa aya..
 
ulikuwa wapi tangu 2010 mpaka 2017...umetengeneza hela muda wote ule na wala hukuwahi kuja na hoja yoyote ile...
watu walisha amka na gari limeshachanganya tena speed 4G..
FOREX IS NOT FOR EVERYONE
ulikuwa wapi tangu 2010 mpaka 2017..!
je hiyo faida ulioipata kwenye forex tangu 2010 mpaka ulivyo acha uliipeleka wapi?
SIZITAKI MBICHI HIZI...πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Katika maisha ogopa biashara ya kumwaga damu, kuiba, kudhulumu. Tofauti na hapo ingiza pesa tu. Kama ni uharamu hata pesa yenyewe ni haramu
 

Duniani


Yep.., Certainly not for Muslims πŸ™‚πŸ™‚
 
Katika maisha ogopa biashara ya kumwaga damu, kuiba, kudhulumu. Tofauti na hapo ingiza pesa tu. Kama ni uharamu hata pesa yenyewe ni haramu

Hiyo ni dini/imani yako... NOT Islam
 
Interesting!
 
Kuna baadhi yetu wanaziabudu zaidi dini kuliko wanavyomuabudu Mwenyezi Mungu.
 
Ustadh unsipinga forex kwa sababu ya ribs wakat wee mwnyw Una mkopo crdb kwenye riba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…