Fanya kazijamani zingatieni ma hili kuna pesa ambazo wale wa upande mwnigine ambao kuna vitu ni halali si halamu huwa wana toa misaada hata kwa wasio waislam haijarishi pesa ile ni ujira toka TBA, Kahaba, Forex trader nk...
ile pesa wengine huwa wanapokea.... sitaki enda mbali zaidi na kuhoji ule msaada wa Mh kwenda msikiti wa wilaya moja wapo pale pwani?
kama haya yanafanywa kwa kuto jua ni kwanini huwa hatuoji na kupokea hata halamu ile ikiwa inatoka ktk vyanzo visivyo halali
jamani zingatieni ma hili kuna pesa ambazo wale wa upande mwnigine ambao kuna vitu ni halali si halamu huwa wana toa misaada hata kwa wasio waislam haijarishi pesa ile ni ujira toka TBA, Kahaba, Forex trader nk...
ile pesa wengine huwa wanapokea.... sitaki enda mbali zaidi na kuhoji ule msaada wa Mh kwenda msikiti wa wilaya moja wapo pale pwani?
kama haya yanafanywa kwa kuto jua ni kwanini huwa hatuoji na kupokea hata halamu ile ikiwa inatoka ktk vyanzo visivyo halali
Pia gharama za uendeshaji zipo kama kwenye biashara nyingine. Utalipa maafisa mikopo, wanasheria, utanunua makaratasi, wino, utakodi jengo la biashara (kama ni bank ama ofisi tu ndogo). Zote hizo ni gharama za uendeshaji wa huo mradi, pia kwakuwa huyu anayekukopesha ana mahitaji kama kula, mavazi n.k. Yote hayo ndio yanaingia kwenye riba ama faida.
jamani zingatieni ma hili kuna pesa ambazo wale wa upande mwnigine ambao kuna vitu ni halali si halamu huwa wana toa misaada hata kwa wasio waislam haijarishi pesa ile ni ujira toka TBA, Kahaba, Forex trader nk...
ile pesa wengine huwa wanapokea.... sitaki enda mbali zaidi na kuhoji ule msaada wa Mh kwenda msikiti wa wilaya moja wapo pale pwani?
kama haya yanafanywa kwa kuto jua ni kwanini huwa hatuoji na kupokea hata halamu ile ikiwa inatoka ktk vyanzo visivyo halali
Hata hizo kampuni unazozopigia debe nazo ni haram tu,Apple wanatengeneza simu watu wanaangalizia porno humo.Wananunua hisa za kampuni za ujenzi zinaenda kujenga makanisa.haram haram haramKununua hisa za kampuni si haramu kiislamu. Sababu unakuwa mmoja wa wamiliki wa kampuni/biashara. Ila hiyo kampuni unayonunua hisa isiwe inajihusisha na biashara haramu: ( mfano pombe, kamari, hisa za mabenki zinazojihusisha na riba etc)
Mfano kununua hisa za kampuni ya Apple (NASDAQ: AAPL) sio haramu, ni halali kabisa, sababu biashara zao ni kutengeneza simu na computer. Mfano pia hisa za makampuni ya kutengeneza magari, meli, ndege, satellite communication systems, ujenzi etc zote hazina tatizo na ni halali kabisa. Epuka hisa za kampuni za kutengeneza zana za kivita, makampuni yanayokopa kwa riba, utengenezaji wa vilevi etc
Na imam azipeleke wapi au yeye sio muislam?Kama unajua msaada unatokana na mali ya haramu kataa usipokee.., na kwa nini uwe mtu wa kupokea misaada?? Uislamu umesisitiza kutoa sadaka sio kupokea sadaka.., Usiwe mpokeaji bali kuwa mtoaji
Huoni kama utakua umedhulumu bidhaa ya 100000 umuuzie mtu kwa 250000Yes, waepuke
Sio kweli.. hivi mfano wewe umenunua bidhaa kwa Tsh 100,000/= ukaenda kuuza kwa Tsh 250,000/= , faida yako ni Tsh 150,000/=, riba iko wapi hapo? riba ni kukopa Tsh 100,000/= ukaambiwa urudishe Tsh 250,000/=
Usifanye mchezo na nyama pendwa.Kuna ustadh hafanyi Forex lakini anapiga kitimoto
Duh [emoji50] !Ushoga na kufirana sio haramu kwenu?
Vipi uchangudoa?
Hawa waislamu wanaoishi dunia ya tatu ni wapuuzi sana(baadhi lakini akiwemo mleta mada) wana complications za ajabu kiasi kwamba hata ambao wamewaletea sheria za hiyo dini yao huwa wanawashangaa na kuwaona ni kama visiki tu wasivyojua dunia inaenda wapi. Kwa tasfiri fupi tu huyu jamaa ana twambia technology inapingana na dini yake!.Dini haijawahi kumpeleka Binadamu mbele hata siku moja sana sana itadumaza akili yako, Hii technology iliyopo sasa bila watu kuvua miavuli ya dini tusingekuwa hapa kabisa, Tuacheni Uzwazwa mana hata hao walio ileta hawawi wajinga kama sisi tuliopokea
Hili suala la riba bado ni controversial. Chuo nilisoma somo la Islamic banking humo ndani Kuna kitabu kimoja nilisoma (sikumbuki author) alisema riba ingawa inqawa inapingwa katika Quran lakini inaweza isiwe riba as riba bali inaweza kuwa kupanda n kushuka kwa thamani ya pesa. Na jamaa alitoa argument zake zikaeleweka.Sio kweli, mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu hapa Tanzania haina riba. Tofautisha riba (faida ya kukopesha vitu vinavyolingana e.g dhahabu kwa dhahabu au pesa kwa pesa ) na inflation (kupungua thamani kwa pesa ya nchi against time), hivi ni vitu viwili tofauti.
Mikopo ya HESLB inajumuisha na inflation kwa kipindi husika, haina riba. Hii ni according to mkurugenzi mkuu wa HESLB.
Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba,kwakuwa wazungubwaliokuleteeni ukristo wanafanya vizuri kwenye mambo ya "sodoma na gomora" hivyo imekuwa halali kwenu kuoana?Hawa waislamu wanaoishi dunia ya tatu ni wapuuzi sana(baadhi lakini akiwemo mleta mada) wana complications za ajabu kiasi kwamba hata ambao wamewaletea sheria za hiyo dini yao huwa wanawashangaa na kuwaona ni kama visiki tu wasivyojua dunia inaenda wapi. Kwa tasfiri fupi tu huyu jamaa ana twambia technology inapingana na dini yake!.
Anaongelea riba na speculation kama vitu haramu kwa muislamu yeyote kujihusisha navyo, anasahau kwamba hata serikali yake yenyewe tu inafanya speculation kwenye upangaji wa bajeti, anasahau kwamba hata wao wenyewe kuandama kwa mwezi huwa wana speculate.
Anatwambia forex ni haramu wakati cha kustahajabisha huko Dubai kwenye waislamu wenyewe ndio wamejaa ma forex traders kibao tu, yaani hawa waislamu wa bongo pasua kichwa wanasemaga eti hata mpira ni haramu wakati mataifa yaliyoshika dini ya kiislamu hapa afrika kama Egypt,Algeria,Tunisia ndio yanayofanya vizuri kimpira. Hawa macomplicator kama huyu mleta mada ni wakupuuza kabisa