Foreign Policy: Unaweza Kuthibitisha Ama Kukanusha Haya?

Foreign Policy: Unaweza Kuthibitisha Ama Kukanusha Haya?

TUJITEGEMEE

Platinum Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
27,564
Reaction score
28,562
Ni juu ya ukweli kuhusu tuhuma dhidi ya US kuwa na mkakati wa kuingamiza Russia kwa gharama yoyote ile.

Ebu soma sababu hasa ya kuuliza swali hilo kwenye kichwa cha Uzi huu kwenye nukuu hii hapa chini kutoka moja ya habari za http://globalresearch.ca/.

================
....................................................................................................................

And how did this latest example of American foreign-policy exceptionalism come to be? One starting point that can be considered is what former Secretary of Defense and CIA Director Robert Gates says in his recently published memoir:

"When the Soviet Union was collapsing in late 1991, [Defense Secretary Dick Cheney] wanted to see the dismemberment not only of the Soviet Union and the Russian empire but of Russia itself, so it could never again be a threat to the rest of the world."

​
That can serve as an early marker for the new cold war while the corpse of the old one was still warm. Soon thereafter, NATO began to surround Russia with military bases, missile sites, and NATO members, while yearning for perhaps the most important part needed to complete the circle – Ukraine.

In February of this year, US State Department officials, undiplomatically, joined anti-government protesters in the capital city of Kiev, handing out encouragement and food, from which emanated the infamous leaked audio tape between the US ambassador to Ukraine, Geoffrey Pyatt, and the State Department's Victoria Nuland, former US ambassador to NATO and former State Department spokesperson for Hillary Clinton. Their conversation dealt with who should be running the new Ukraine government after the government of Viktor Yanukovich was overthrown; their most favored for this position being one Arseniy Yatsenuk.

My dear, and recently departed, Washington friend, John Judge, liked to say that if you want to call him a "conspiracy theorist" you have to call others "coincidence theorists". Thus it was by the most remarkable of coincidences that Arseniy Yatsenuk did indeed become the new prime minister. He could very soon be found in private meetings and public press conferences with the president of the United States and the Secretary-General of NATO, as well as meeting with the soon-to-be new owners of Ukraine, the World Bank and the International Monetary Fund, preparing to impose their standard financial shock therapy. The current protestors in Ukraine don't need PHDs in economics to know what this portends. They know about the impoverishment of Greece, Spain, et al. They also despise the new regime for its overthrow of their democratically-elected government, whatever its shortcomings. But the American media obscures these motivations by almost always referring to them simply as "pro-Russian".

An exception, albeit rather unemphasized, was the April 17 Washington Post which reported from Donetsk that many of the eastern Ukrainians whom the author interviewed said the unrest in their region was driven by fear of "economic hardship" and the IMF austerity plan that will make their lives even harder:
"At a most dangerous and delicate time, just as it battles Moscow for hearts and minds across the east, the pro-Western government is set to initiate a shock therapy of economic measures to meet the demands of an emergency bailout from the International Monetary Fund."

​
Arseniy Yatsenuk, it should be noted, has something called the Arseniy Yatsenuk Foundation. If you go to the foundation's website you will see the logos of the foundation's "partners". Among these partners we find NATO, the National Endowment for Democracy, the US State Department, Chatham House (Royal Institute of International Affairs in the UK), the German Marshall Fund (a think tank founded by the German government in honor of the US Marshall Plan), as well as a couple of international banks. Is any comment needed?

Getting away with supporting al-Qaeda and Nazi types may be giving US officials the idea that they can say or do anything they want in their foreign policy
.

In a May 2 press conference, President Obama, referring to Ukraine and the NATO Treaty, said:
"We're united in our unwavering Article 5 commitment to the security of our NATO allies". (Article 5 states: "The Parties agree that an armed attack against one or more of them … shall be considered an attack against them all.")
​
Did the president forget that Ukraine is not (yet) a member of NATO? And in the same press conference, the president referred to the "duly elected government in Kyiv (Kiev)", when in fact it had come to power via a coup and then proceeded to establish a new regime in which the vice-premier, minister of defense, minister of agriculture, and minister of environment, all belonged to far-right neo-Nazi parties.

SOURCE: The New Cold War: “The Russians are Coming … Again … and They’re Still Ten Feet Tall” | Global Research
.........................................................................................
===================
 
Asante kwa ku fish this out. Lakini Kiswahili ni kuthibitisha siyo kudhibitisha. Ni maneno mawili tofauti.
 
PUTIN anayajua aya vizuri na yupo vizuri...UKRAINE sio NATO member ila hatushangai kuona US na EU wanaichukulia as if ni mwanachama ila wamechelewa kwani kale kajimbo kalikojiunga na RUSSIA ndo kijiografia kalikua kanawaumiza kichwa sana kwani pale kuna naval bases pale za kirusi na saiv ata viwanja vya kijesh vinamilikiwa na mRusi ambapo km PUTIN angezubaa na UKRAINE yote ingejiunga na NATO hivyo anezungukwa na maadui wake ambao ni US na NATO
 
Asante kwa ku fish this out. Lakini Kiswahili ni kuthibitisha siyo kudhibitisha. Ni maneno mawili tofauti.

Ahsante kwa ukosoaji wa kujenga lugha ya kiswahili fasaha.
 
PUTIN anayajua aya vizuri na yupo vizuri...UKRAINE sio NATO member ila hatushangai kuona US na EU wanaichukulia as if ni mwanachama ila wamechelewa kwani kale kajimbo kalikojiunga na RUSSIA ndo kijiografia kalikua kanawaumiza kichwa sana kwani pale kuna naval bases pale za kirusi na saiv ata viwanja vya kijesh vinamilikiwa na mRusi ambapo km PUTIN angezubaa na UKRAINE yote ingejiunga na NATO hivyo anezungukwa na maadui wake ambao ni US na NATO
Ki ukweli Putin yuko vizuri kimikakati...nianza kumuongezea ubora kwenye masuala ya 'Geopolitics' niliposoma makala moja iliyoandikwa na 'insider' wa Pentagon kuwa mpaka sasa US imeshidwa kutabili mwelekeo wa Putin kuhusu mipango yake (yaani hawana intel ndani ya Kremlin). Ukisha kata mrija wa taarifa kwenda kwa 'adui' ni hatua mzuri ya kumkabili adui, Putin amefanya hivyo.

Ebu fikiria kauli yake (Putin) ya kuwashauri Pro-Ukrain federation kuhairisha referendum na ziara yake Cremia...hakuna aliyekuwa anafikiri Putin anaweza kufanya hayo kwa wakati huu. Yaani Putin anawachanganya kweli kweli. Pia suala la kuhudhuria mazoezi ya kijeshi ya iliyohusu hata vikosi vya kudungulia Intercontinental Ballistic (Nuclear) Missile kimizidisha 'kuchanganyikiwa huko Pentegon.

Kwa kifupi Pentagon na US admin kwa ujumla wanahitaji 'drastic change'kifikra na kimkakati ili waweze kweli waendelee kusimamia siasa za Ulimwengu...wakichelewa sana...Russia kupitia BRICS "itawavunja kiuno"
 
20140503_WWD000_0.jpg
The world has moved on, so as the shift to power. New tricks and approaches are needed.
 
Ki ukweli Putin yuko vizuri kimikakati...nianza kumuongezea ubora kwenye masuala ya 'Geopolitics' niliposoma makala moja iliyoandikwa na 'insider' wa Pentagon kuwa mpaka sasa US imeshidwa kutabili mwelekeo wa Putin kuhusu mipango yake (yaani hawana intel ndani ya Kremlin). Ukisha kata mrija wa taarifa kwenda kwa 'adui' ni hatua mzuri ya kumkabili adui, Putin amefanya hivyo.

Ebu fikiria kauli yake (Putin) ya kuwashauri Pro-Ukrain federation kuhairisha referendum na ziara yake Cremia...hakuna aliyekuwa anafikiri Putin anaweza kufanya hayo kwa wakati huu. Yaani Putin anawachanganya kweli kweli. Pia suala la kuhudhuria mazoezi ya kijeshi ya iliyohusu hata vikosi vya kudungulia Intercontinental Ballistic (Nuclear) Missile kimizidisha 'kuchanganyikiwa huko Pentegon.

Kwa kifupi Pentagon na US admin kwa ujumla wanahitaji 'drastic change'kifikra na kimkakati ili waweze kweli waendelee kusimamia siasa za Ulimwengu...wakichelewa sana...Russia kupitia BRICS "itawavunja kiuno"

Ni kweli kabisa. Huyu jamaa anastrategies ambazo kwa wamarekani zinawapa hofu kubwa. Nakumbuka alipochaguliwa kuwa Rais westerners na US walipiga kelele sana.
 
Back
Top Bottom