Parachichi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2008
- 510
- 102
Wakuu habari za majukumu!
Eee bwana nipo hapa bongo sasa kila kukicha nikiangalia kwenye mabango ya Bureau De Change nakuta shilingi yetu inaporomoka !hivi tatizo haswa ni nini?
Kwa mfano jana baadhi ya bureau shiling ilikua inauzwa 1385/1 usd,
Ila kwa leo goma letu limezidi kubomoka inauzwa 1396/1USD
na hii trend ilianza mda kwa hiyo kwa mwendo huu ikifika october 2010 itakua inauzwa Tshs 2000/1USD.
Tatizo ni nini haswa???naomba mwenye ufahamu zaidi atupe shule na pia mwenye ufahamu wa jinsi ya ku correct hii kitu amwage hapa najua wakuu wa mjengoni huwa wanatembelea sana JF so wanaweza kupata desa humu likaisaidia nchi.
Nawasilisha