Forbes The World's Most Innovative Companies

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
16,627
30,607
Afrika tuna kampuni 1 tu,la madawa kati ya makampuni 100.kweli bado tuna kazi ya ziada

#1 Tesla Motors United States 52% 84.82%
#2 Salesforce.com United States 28.44% 77.81%
#3 Alexion Pharmaceuticals United States 22.7% 72.5%
#4 Regeneron Pharmaceuticals United States 35.91% 72.13%
#5 ARM Holdings United Kingdom - 69.76%
#6 Unilever Indonesia Indonesia 8.57% 67.9%
#7 Incyte United States 73.42% 67.85%
#8 Amazon.com United States 17.18% 67.64%
#9 Under Armour United States 28.77% 66.56%
#10 BioMarin Pharmaceutical United States 35.58% 65.19%

#11 Baidu China 41.72% 64.66%
#12 Aspen Pharmacare Holdings South Africa - 63.96%
#13 Monster Beverage United States 11.19% 63.31%
#14 Catamaran United States 48.3% 63.17%
#15 Vertex Pharmaceuticals United States -24.3% 62.39%
#16 FleetCor Technologies United States 48.08% 61.62%
#17 CP All Thailand 19.21% 61.18%
#18 Verisk Analytics United States 10.78% 61.01%
#19 Rakuten Japan 17.98% 58.81%
#20 Shanghai RAAS Blood Products China 116.19% 58.5%

Inaonesha Marekani ndo kila kitu....
Mchina moja tu Baidu
 
Tesla Motor wako vizuri. Innovation yao magari yanayotumia electricity imeleta mapinduzi makubwa sana. Kwanza ni tenchology nzuri kwa mazingira. Pili matumizi ya umeme badala ya gas/oil ni relatively cheap.

Huyu jamaa anaitwa Elon mmiliki wa Tesla Motors amefanya mapinduzi kwenye areas nyingi. Yeye ndiye mwanzilishi wa PayPal. Pia nimwanzilishi wa SpaceX. Hili jina la kampuni nadhani amelitumia kwaajili ya heshima ya mwanafizikia Nicolai Tesla.

Uniliver nao wako vizuri, but sikujua wamebase Indonesia nilijua ni Uingereza.

Jambo lingine mbona company like Apple au Google hawapo? Google wanayo magari yao yasiyotumia dereva nadhani ni innovation kubwa sana hii.
 
Tesla Motor wako vizuri. Innovation yao magari yanayotumia electricity imeleta mapinduzi makubwa sana. Kwanza ni tenchology nzuri kwa mazingira. Pili matumizi ya umeme badala ya gas/oil ni relatively cheap.

Huyu jamaa anaitwa Elon mmiliki wa Tesla Motors amefanya mapinduzi kwenye areas nyingi. Yeye ndiye mwanzilishi wa PayPal. Hili jina la kampuni nadhani amelitumia kwaajili ya heshima ya mwanafizikia Nicolai Tesla.

Uniliver nao wako vizuri, but sikujua wamebase Indonesia nilijua ni Uingereza.

Jambo lingine mbona company like Apple au Google hawapo? Google wanayo magari yao yasiyotumia dereva nadhani ni innovation kubwa sana hii.
Jamaa ni kichwa. Ila Paypal alikuwa Co-founder waliunganisha mawazo na timu ingine.
 
Amazon na alibaba nani zaidi.

Nadhani Alibaba anafanya vizuri japo hili linahitaji kuchunguza mambo mengi. Kwa mwaka 2015 mwezi March Alibaba walipata faida ya takribani dollar billion 5 za kimarekani. Upande wa Amazon report yao ya December 2014 walipata loss takribani dollar million 200 za kimarekani.
 
Jamaa ni kichwa. Ila Paypal alikuwa Co-founder waliunganisha mawazo na timu ingine.

Elon yupo smart sana. Yeye alitaka kwenda kudhuru katika space basi akaamua kuunda SpaceX. Yeye ameona magari ya gas/oil si rafiki wa mazingira akaamua kuanzisha Tesla Motors. Pia ana company nyingine ambazo ni innovative sana.

Sasa watu wanashauriwa wawe kama Elon.
 
USA baby
upload_2016-4-2_13-39-59.png
upload_2016-4-2_13-40-1.png
upload_2016-4-2_13-40-3.png
upload_2016-4-2_13-40-4.png
upload_2016-4-2_13-40-5.png
upload_2016-4-2_13-40-6.png
 
Nadhani Alibaba anafanya vizuri japo hili linahitaji kuchunguza mambo mengi. Kwa mwaka 2015 mwezi March Alibaba walipata faida ya takribani dollar billion 5 za kimarekani. Upande wa Amazon report yao ya December 2014 walipata loss takribani dollar million 200 za kimarekani.
Mkuu nimefuatilia katika top 1O e comerce companys 2015 alibaba ni wa 5, anakimbizwa mbali sana na amazon yenye revenue zaidi ya mil80 $ wakati alibaba ni 8.57. Nyuma ya ebay,DJ.com,walmat.com
 
Mkuu nimefuatilia katika top 1O e comerce companys 2015 alibaba ni wa 5, anakimbizwa mbali sana na amazon yenye revenue zaidi ya mil80 $ wakati alibaba ni 8.57. Nyuma ya ebay,DJ.com,walmat.com

Sawa mkuu, nadhali mambo mengi yanahitajika kufahamu hivyo. Amazon wapo vizuri. Kuhusu Alibaba labda mdororo wa uchumi China unawaangusha.
 
Mugizi Richard wewe ndiye Nyani Ngabu? Nilitaka kukuuliza katika post fulani ukitumia ID hii ya Mugizi Richard kwasababu namna yako ya uandishi na hii namna ya kuishangilia US ni aina anayoitumia Nyani Ngabu. Hebu nijuze mkuu nauliza kutaka kufahamu tu.

Yeah ndo mimi. ID ya NN imefungiwa.
 
Back
Top Bottom