Duuuuu....kubwa zima unaogopa kufa mbele ya mrembo, daaa we chenga kweli mkuu!
kaushaaa...utaharibu siku wewe mwana!!!
Duuuuu....kubwa zima unaogopa kufa mbele ya mrembo, daaa we chenga kweli mkuu!
hahahaha.....kuwa mpole basi, kupewa maua tu ndo sasa bichwa hiloooooo.....! wenzio tunapewaga nyiu ww hangaika na mzigo wa maua....teh teh!
Jumapili saa kumi na mbili, Corner Bar, jirani na kituo cha Mabibo Hostel..will be wearing a white t-shirt, suruali ya khaki na open shoes..utanikuta na watoto wawili..one will be for you
swaga za mjini bhana....eti blah blah first time...now close! haya buana siku yako hii!
ha ha ha haaaa...safari hatua...Roma haikujengwa kwa siku moja
Ahaaaa....kutiana moyo huko sio! warembo wanazidi kuzeeka sasa! Ngoja niende chit chat nikafanye yangu!
utanipa mrejesho...mimi being a one-woman kind of man nastick na Ivenosa
M
Kamawewew sio crew juawenzio wanakusaidia namauayako
hahahaha....ngoja nikamwite chit chat!
show him your true colour lol
thts why you win my heart lol