For VALENTINES...?? Help! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

For VALENTINES...?? Help!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyamgluu, Feb 5, 2011.

 1. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Wajemeni unajua ni rahisi kua playa kuliko kua na mke. Maana nakumbuka huko zamani kuwaridhisha madem wakupita ilikua rahisi sana. Sasa na staajubu inavyokua vigumu kwa wife. Nawaza nimpe nini au kumfanyia nini VALENTINES day afurahi!

  Kwangu haya masherehe sio ishu na wala sipendi, ila naona mwenzangu ni tofauti ikipita hivi hivi ntanuniwa hadi nione mboga chungu. (Maana nakumbuka siku moja usiku niliulizwa kwanini sijawahi kumletea maua, wakati bustani nje imejaa tele! I was geniunely perplexed)

  Anyways tupeane ideas kweli mtakua mmenisaidia sio mimi tu bali na wengine, so far nina zifuatazo:-

  1. Nimpikie dinner, lakini nyumba yetu haina romantic setting. Kwaio am not sure.:hungry:
  2. Nimtoe out restaurant. Idea hii haina special touch, yani nahisi mtu ambae si mbunifu ndio atachagua hii.:dance:
  3. Bye her an "expensive" dress. Itabidi nimuulize mambo ya size hivyo atajua. Halafu sijui maduka, halafu how much is expensive!
  4. Nijipakae chocolate na vanilla mwilli mzima halafu anilambe, but will that be a present to her or me?
  :decision:
   
 2. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye bustani ya nje umewahi kumkatia ua na kumpa ?
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  No.1 Kama sio kawaida yako kumpikia hata mkilia sakafuni jikoni bado atafurahi.
  Alafu romantic setting kwani inajileta yenyewe jamani???Weka mishumaa mezani....red roses kidogo...panga sahani
  zako mbili glass na uma kwa ustadi kidogo...kachupa ka wine and voila!!

  No.2 Labda restaurant ya hapo hapo karibu haitaleta special feeling ila unaweza kumtoa nje ya mji kidogo...sehemu uliyotulia.Kwa
  Dar Bagamoyo kunafaa sana..Kigamboni au hata Zenji kama unaweza kwenda!Kama uko Atown kuna sehemu inaitwa Duluti
  sijaenda siku nyingi ila ni patulivu sana....kuna ka ziwa mnaweza kuendesha mashua....sijui kupiga kasia!!!

  No.3 Mhhhh jamani yani hujui size ya mkeo???Nwyz unaweza kumtumia mtu wake wa karibu kufind out!!Kuhusu ghali or not
  inategemea na kipato chako!!

  No.4 Unaweza kumnunulia madini kidogo kama uwezo unaruhusu na yeye anapenda..hereni....mkufu..bangili n.k

  No.5 Unaweza kumpatia spa treatment.....massage.... kusafishwa na kupendezeshwa!

  No.6 Unaweza kuunganisha namba 2 na 3....unamnunulia nguo ambayo utataka avae huko utakapompeleka!!

  Too bad inadondokea jumatatu....ningekushauri umpeleke sehemu for the weekend!!!
   
 4. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Big Up Lizzy,umemshauri vyema.....usisahau kumwambia unampenda na ana thamani kubwa sana kwako......wanawake si wote tunataka makuu,just a kind thought that shows you care and she means the world to you.....goodluck!!!
   
 5. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Thank you ma ladies. Adivice zimetulia sana. Nafikiri nitafanya hio namba 1. Nikicheki bajeti nafkiri ndio ntakayoweza, ila mambo yaki kubali katikati ya wiki then ntaenda na number 2,friday/saturday halafu nimalizie number 1 sunday!
   
 6. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  si maua yake mwenyewe jamani. but I get your point.
   
 7. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Ungekuwa unaishi nae hata kumwandikia barua romantic nzuri(usiweke maneno ya uongo tu) na kumuwekea mahali unapojua ataiona kirahisi asubuhi hiyo ingekuwa imetosha..angeitunza na kuisoma kila mara!

  Valentine inaangukia J3, unaweza ukamwagizia maua apelekewe special delivery atakapokuwa kama kazini/ home ila wewe usiwe nae ili mkikutana jioni akupe thanx na hugs..maeneo ya namanga kuna flower shops na wana delivery serv.

  Mnunulie necklace&earrings ila ujue anapendelea nini kati ya silver, gold au hata tanzanite..

  Mwisho mnaweza kukutana kwa simple dinner mahali(siyo penye makelele mpaka mkiongea kama mnafokeana) na hapo ukapata muda wa kumweleza unavyompenda na jinsi gani una furaha ya kuwa nae hadi siku hiyo..
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahhaahah....bibie embu rekebisha hapo mwisho kwanza......good liki inaleta maana nyingine!!
   
 9. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  BJ,nimependa idea ya letter,ntaiandika hio. Last paragraph is funny, kwaio valentine dinner akudo sio! LOL.
   
 10. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  I hate valentines day sijui kwa nini. Fata ushauri wa lizzy
   
 11. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Gaga kwanini? Kila kitu kinasababu. Mimi sifagilii visherehe sherehe na special occasions (I'm a shy guy :wink2: ) lakini kwasbabu mwenzangu anapenda na hainipunguzii chochote kumfanyia na fanya.Wewe kwanini hupendi V day?
   
 12. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Asante my dear,nimebadilisha.....cheers,usiku mwema!!
   
 13. k

  kisukari JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  wengi wameshasema,shairi zuri la mapenzi,ni zawadi nzuri,mnunulie na kufuli nzuri kabisa,ikibidi umechishe na sidiria yake,nina uhakika atapenda.na akiwa kazini mtafute mtu yoyote ili ampelekee kitu chochote kile,kama mmoja alivyosema maua,au ikibidi shairi jengine lenye maneno mazuri tu,ata smile siku nzima ofisini.Atajihisi na yeye ni mmoja wapo ambae anapendwa na mume wake
   
 14. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  fuata steps zifuatazo

  1. chukua karatasi
  2. juu kabisa andika jina kamili la mke wako, yaani majina yote matatu na ukiweza pia andika jina la mwisho la mama yake kabla hajaolewa, na pia jina lake la utani.....yaani kama wife wako anaitwa Paulina...basi andika Paulina James Mwambeki Kitikikavu Binti Machozi (jina la utani)
  3. Katafute picha ya kwanza kabisa uliyowahi kupiga nae ibandike hapo chini ya jina
  4. katafute wimbo wa kwanza kabisa uliyowahi kusikiliza nae au kucheza nae. andika mashairi yake

  Na mwisho, kanunue chocolate halafu kula yote bakisha kipande kimoja tu, halafu kimege, nacho kiweke kwenye hilo karatasi, halafu chini yake andika "haiwezi kuwa tamu kama sijakushirikisha hata kidogo"

  halafu usiku piga gemu la uhakika!!!
   
 15. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Valentine in uendawazimu?
   
 16. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145

  We mkali!
   
 17. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Lizzy na Belinda mmemaliza, sina la kuongeza.
   
 18. Mtanga Tc

  Mtanga Tc JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Chochote ambacho utajisikia kumfanyia chaweza kumgusa only if kitakuwa na tafsiri ya Affections na tender care!Pia ni vizuri kujenga tabia ya kumjali mke wako na siyo tu kusubiri special occassions....ladies needs special treatment & recognitions.Kuwa mbunifu ktk kumjali!
   
Loading...