Yaani wewe ndiye mwenye mawazo ya kimasikini sema hujioni. Na ndio Mana Taifa litazidi kuzalisha waoga na masikini.
Unapenda security,
Ujue mtu akisoma veta kitu anachokipenda anaweza akakaa gereji akafungua yake,later duka la spear na gereji anayo ikamlipa mshahara mkubwa kuliko huo unalipwa ukistaafu unaanza kuhaha.
Hali kadhalika fundi ujenzi Mara anakuwa na hardware yake.
Ila pia sio kosa lako it's nature of human being to be afraid of unknown, uncertainties and do some statistical probabilistic odds calculation risks.
We love deterministic life kuwa mwisho wa mwezi utalipwa Bei gani,jioni utakula Nini,muda fulani utafanya Nini.
Pia kuwa contRolled kinidhamu. Mtu anasoma mapishi anapiga vibarua anafungua restaurant yake ya maana.
We're poor not because of environments but because of our internal mind environment