For those who worship Israel-read here

For those who worship Israel-read here

Huyo mwandishi angetumia muda kwanza ajifunze, aelewe na akubaliane na maana sahihi ya neno worship.
Eneo la mashariki ya kati lina historia ya vita karne zote, kudanganya watu kuwa wapalestina walikuwa hawana uzoefu na vita ni vichekesho.
Katika hiyohiyo BIBLIA anayoinukuu, baada ya mfalme Sauli kumkosea MUNGU, MUNGU alimkataa dhahiri na kumchagua Daudi awe mfalme. Lakini Daudi alisema nini alipopata nafasi ya kumdhuru Sauli?.....'usimdhuru wala usimnyooshee mkono MASIHI wa BWANA.'
Huwa inashangaza sana pale watu wasioiamini wala kuikubali BIBLIA wanapojifanya kukopi vifungu viwili vitatu na kujaribu kueneza matakwa yao maovu.
Mahusiano ya MUNGU na wateule wake iwe wameanguka au la yameelezewa kwa uwazi mno katika BIBLIA kiasi kuwa kujaribu kuleta matakwa ya giza katika hilo ni kujisumbua bure.
 
Yes i saw that one wanaogopa coz wanajua wale ethipians ndio real blood of israel wa kabila la juda kutoka kwa suleiman so hawataki waongezeke.
Maana unaweza jiuliza why wawachukie ndugu zao? Wanawabagua sana huko
Inauma sana mtu kubaguliwa kwao.
 
Kuna kitu kinawauma sana wale jamaa; Israel inakubalika na dini zote tatu kama ardhi takatifu; na hata magaidi wanakubali hivyo. Moses and Jesus wanakubalika kama manabii hadi na magaidi (kwa wakristo Jesus ni zaidi ya nabii). Kinachowauma magaidi ni kwamba dini zingine hazina mpango na mafundisho yao au "mtu wao" ambaye wanalazimisha afanane na Moses! Inawaumiza kweli kweli.
Israel inakubalika kweli kama nchi takatifu lakini wakazi asilimia 95% ni waisraeli feki ndio sababu ya kuwabagua waisraeli asilia. Tatizo ni kuwa, hawa feki ndio wameshikilia madaraka na kutunga sheria za ovyo za kibaguzi.
 
Huyo mwandishi angetumia muda kwanza ajifunze, aelewe na akubaliane na maana sahihi ya neno worship.
Eneo la mashariki ya kati lina historia ya vita karne zote, kudanganya watu kuwa wapalestina walikuwa hawana uzoefu na vita ni vichekesho.
Katika hiyohiyo BIBLIA anayoinukuu, baada ya mfalme Sauli kumkosea MUNGU, MUNGU alimkataa dhahiri na kumchagua Daudi awe mfalme. Lakini Daudi alisema nini alipopata nafasi ya kumdhuru Sauli?.....'usimdhuru wala usimnyooshee mkono MASIHI wa BWANA.'
Huwa inashangaza sana pale watu wasioiamini wala kuikubali BIBLIA wanapojifanya kukopi vifungu viwili vitatu na kujaribu kueneza matakwa yao maovu.
Mahusiano ya MUNGU na wateule wake iwe wameanguka au la yameelezewa kwa uwazi mno katika BIBLIA kiasi kuwa kujaribu kuleta matakwa ya giza katika hilo ni kujisumbua bure.
Tatizo sio kuamini au kutoamini katika biblia. Tatizo ni kwamba, kuna watu wamejipenyeza israel kwa kutumia mgongo wa hiyo imani na kubrain wash dunia nzima huku wakiwabagua vibaya wateule wa kweli wa mungu ambao ni Waisraeli asilia.
 
Huyo mwandishi angetumia muda kwanza ajifunze, aelewe na akubaliane na maana sahihi ya neno worship.
Eneo la mashariki ya kati lina historia ya vita karne zote, kudanganya watu kuwa wapalestina walikuwa hawana uzoefu na vita ni vichekesho.
Katika hiyohiyo BIBLIA anayoinukuu, baada ya mfalme Sauli kumkosea MUNGU, MUNGU alimkataa dhahiri na kumchagua Daudi awe mfalme. Lakini Daudi alisema nini alipopata nafasi ya kumdhuru Sauli?.....'usimdhuru wala usimnyooshee mkono MASIHI wa BWANA.'
Huwa inashangaza sana pale watu wasioiamini wala kuikubali BIBLIA wanapojifanya kukopi vifungu viwili vitatu na kujaribu kueneza matakwa yao maovu.
Mahusiano ya MUNGU na wateule wake iwe wameanguka au la yameelezewa kwa uwazi mno katika BIBLIA kiasi kuwa kujaribu kuleta matakwa ya giza katika hilo ni kujisumbua bure.
The word worship here is not used as per the meaning parse but sarcatically.
 
Israel has admitted for the first time that it has been giving Ethiopian Jewish immigrants birth-control injections, often without their knowledge or consent.

The government had previously denied the practice but the Israeli Health Ministry’s director-general has now ordered gynaecologists to stop administering the drugs. According a report in Haaretz, suspicions were first raised by an investigative journalist, Gal Gabbay, who interviewed more than 30 women from Ethiopia in an attempt to discover why birth rates in the community had fallen dramatically.

One of the Ethiopian women who was interviewed is quoted as saying: “They [medical staff] told us they are inoculations. We took it every three months. We said we didn’t want to.” It is alleged that some of the women were forced or coerced to take the drug while in transit camps in Ethiopia.

The drug in question is thought to be Depo-Provera, which is injected every three months and is considered to be a highly effective, long-lasting contraceptive.
Nearly 100,000 Ethiopian Jews have moved to Israel under the Law of Return since the 1980s, but their Jewishness has been questioned by some rabbis. Last year, the Prime Minister, Benjamin Netanyahu, who also holds the health portfolio, warned that illegal immigrants from Africa “threaten our existence as a Jewish and democratic state”.

Haaretz published an extract from a letter sent by the Ministry of Health to units administering the drug. Doctors were told “not to renew prescriptions for Depo Provera for women of Ethiopian origin if for any reason there is concern that they might not understand the ramifications of the treatment”.

Sharona Eliahu Chai, a lawyer for the Association of Civil Rights in Israel (ACRI), said: “Findings from investigations into the use of Depo Provera are extremely worrisome, raising concerns of harmful health policies with racist implications in violation of medical ethics. The Ministry of Health’s director-general was right to act quickly and put forth new guidelines.”
Thanks for that good insight. The Ashekenazi jews are desperate and want to perpetuate their rotten empire by hook or crook. But, I believe at the end of the day, the righteous will prevail.
 
The writer is an Ashkenazi jew who lived in Israel, how about you? How close have you ever come closer to that country or its people?
Im sure he doesn't understand who Ashkenazi Jew is, but his Pastor in a Pentecostal church somewhere told him he has to bless Israel in order to receive his blessings.

Brainwashed africans.
 
The writer isnt problem, how can you b sure of his article abt Israel is true or not??
This is just one of the articles about hypocricy of the fake jews. To be sure, you can do research on your own and if you cant, help is abundantly available.
 
Back
Top Bottom