I Isantondo Member Joined Nov 12, 2010 Posts 25 Reaction score 4 May 19, 2011 #1 Kwa mara ya kwanza kuvutiwa na kipima joto from ITV ni leo. Watu waliotoa maoni ya kipimajoto "je wananchi kuwapiga wabunge wao mawe, ni suluhisho la matatizo yao?" 71% wamesema NDIYO. Sasa nimeanza kuamini kuwa watanzania tuko macho!
Kwa mara ya kwanza kuvutiwa na kipima joto from ITV ni leo. Watu waliotoa maoni ya kipimajoto "je wananchi kuwapiga wabunge wao mawe, ni suluhisho la matatizo yao?" 71% wamesema NDIYO. Sasa nimeanza kuamini kuwa watanzania tuko macho!
K Kivia JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 278 Reaction score 32 May 19, 2011 #2 Tandika, chapa saaaana wataacha kutudanganya.