For the first time to like this

For the first time to like this

Isantondo

Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
25
Reaction score
4
Kwa mara ya kwanza kuvutiwa na kipima joto from ITV ni leo.
Watu waliotoa maoni ya kipimajoto "je wananchi kuwapiga wabunge wao mawe, ni suluhisho la matatizo yao?" 71% wamesema NDIYO. Sasa nimeanza kuamini kuwa watanzania tuko macho!
 
Back
Top Bottom