For sale: Vitunguu - Iringa

SUBE2021

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
348
Reaction score
103
Niwataarifu kuwa ninazo gunia 43 za vitunguu nimevuna wiki mbili zilizopita ni vile vya kuhifadhi muda mrefu. Nakaribisha wanunuzi wa Jumla. Namba ni 0715696920 au ni PM kwa maelezo ya ziada. Vipo Iringa.
 
Vimehifadhiwa vizuri kwa hiyo karibu
 
Hivyo changamkieni vitunguu wadau wafanya biashara
 
Hivyo changamkieni vitunguu wadau wafanya biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…