For sale computer, carpet, table.........

For sale computer, carpet, table.........

ERIK

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
623
Reaction score
315
Habari zenu wadau, nauza vitu vyangu vya ndani kwa sababu nategemea kuhama na vingine ninavyo vi 2

samahani sijaweka picha maana sina camera wala smart phone!

nauza:

computer: hp core 2, processor 2.80, ram 4gb hdd (hakuna) monitor hp inch 19 (350,000)

Carpet used mwezi 1: rangi zambarau na white, mita 5 (la sebuleni) (150,000)
carpet used miezi 4 : rangi broun and black (ya chumba kimoja) (70000)

meza ya computer kama za maofisini (70000)

sofa imetumika miezi 2, (ni vizuri kuiona ndiyo tukubaliane bei)

0713644485 number yangu au PM
 
habari zenu wadau, nauza vitu vyangu vya ndani kwa sababu nategemea kuhama na vingine ninavyo vi 2

samahani sijaweka picha maana sina camera wala smart phone!

Nauza:

Computer: Hp core 2, processor 2.80, ram 4gb hdd (hakuna) monitor hp inch 19 (350,000)

carpet used mwezi 1: Rangi zambarau na white, mita 5 (la sebuleni) (150,000)
carpet used miezi 4 : Rangi broun and black (ya chumba kimoja) (70000)

meza ya computer kama za maofisini (70000)

sofa imetumika miezi 2, (ni vizuri kuiona ndiyo tukubaliane bei)

0713644485 number yangu au pm
ungetaja unapopatikana ingekua rahisi watu kukutafuta
 
picha siwezi kupiga kwa saSA sina kamera!!

azima camera au simu yenye uwezo wa kuapload,mtu akupigie simu halafu afunge safari kuja kuviona?,je asipovipenda huoni utakuwa unapoteza muda wa watu?,tuwekee picha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom