R&B ni soft sana
Nlijua unajua code tu kumbe na kwenye ngoma upoπππView attachment 3339052 giveon stuck on you
ππsawa toka huku umepotea njiaR&B ni soft sana
Hip_hop ndio nazikubali.
πππHuwezi kuandika code ukiwa umejifungia ndani kutwa nzima bila kula hivyo vitu mkuu, kwahiyo niko navyo vya kutosha sana.Nlijua unajua code tu kumbe na kwenye ngoma upoπππ
ok....πΆππsawa toka huku umepotea njia
Byeeok....πΆ
see you later π€Byee
ππΆπΌββοΈsee you later π€
ππΆπΌββοΈ...πΆ
Huwa naskiliza wengi wengi ila bado bingwa kabisa wa hizi mambo nitabaki kusimama na Robert Kellyπππ, hata kama hayupo uraiani kutoa ngoma ila huyo jamaa ni jiniπππWho is your best R&B artist..?
Sawa jini mimi napambana na mtoto Aaliyah huyu sitachoka kumsema kwenye R&B, Ni fundi haswa natamani angekuwa hai mpaka leo sijui ingekuwaje!.Huwa naskiliza wengi wengi ila bado bingwa kabisa wa hizi mambo nitabaki kusimama na Robert Kellyπππ, hata kama hayupo uraiani kutoa ngoma ila huyo jamaa ni jiniπππ
Unapenda sauti laini weweπ π π ... Yuko vizuri kwasababu ukiskiliza ngoma zake ni ngumu kuskip, unaweza kuskiliza ngoma hadi ngoma... Mimi sio mpenzi sana wa pop so Michael si mtu ambae nimewahi kuskiliza sana ngoma zake.Sawa jini mimi napambana na mtoto Aaliyah huyu sitachoka kumsema kwenye R&B, Ni fundi haswa natamani angekuwa hai mpaka leo sijui ingekuwaje!.
Lakini no one kwa wasanii wote ni Michael Jackson!.. Huyu fundi muziki wake nauelewa sana!.
Haha! sasa maisha yawe magumu na nisikilize ngoma ngumu huko ndo kuja kuwa mzimu unaesumbua ukoo...π€£Unapenda sauti laini weweπ π π ... Yuko vizuri kwasababu ukiskiliza ngoma zake ni ngumu kuskip, unaweza kuskiliza ngoma hadi ngoma... Mimi sio mpenzi sana wa pop so Michael si mtu ambae nimewahi kuskiliza sana ngoma zake.
Ok nipo tayari lete hiyo kazi ππSikiliza nitakupa kazi ya kufanya π
Kuna ngoma hautakiwi kuskiliza mwenyewe, unatakiwa uwe na mwenzio wa jinsia tofauti mnapokelezana chorus here and there... Ili siku hata mkiachana ukijifungia ndani uskilize hizo ngoma ujinyonge vizuri.π π πHaha! sasa maisha yawe magumu na nisikilize ngoma ngumu huko ndo kuja kuwa mzimu unaesumbua ukoo...π€£
That's kind of dark psychology!, haifanyi kazi kwangu hiyo nishatoka huko kujinyonga mh!.πKuna ngoma hautakiwi kuskiliza mwenyewe, unatakiwa uwe na mwenzio wa jinsia tofauti mnapokelezana chorus here and there... Ili siku hata mkiachana ukijifungia ndani uskilize hizo ngoma ujinyonge vizuri.π π π
Tulia utapewa πOk nipo tayari lete hiyo kazi ππ