For R&B lovers let's kick it

Jf haikubali direct voice recording, hapa nilipo napata dawa ya usiku zinapigwa za kutosha.
 
Mimi katika age fulani i think when i was 30's nilikuwa siwezi kudinya bila kuwepo hizo ngoma... na kwa hakika wote wa wakati huo hadi leo huwa wanataka game, am now 40's! Kuna jambo kwenye hizo mambo na to date nina stock ya kama track 16,000 za R&B from of 80's to early 2000.
 
Mimi katika age fulani i think when i was 30's nilikuwa siwezi kudinya bila kuwepo hizo ngoma... na kwa hakika wote wa wakati huo hadi leo huwa wanataka game, am now 40's! Kuna jambo kwenye hizo mambo
Hakika...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…