Hi kwa programmers nadhan materials wanazid kurahisishiwa tena
ni kaz nzuri pamoja na wickerman
akina ub16, abmas007, Msafiri Kasian, Gogo Vivu, wakuu akina Nyasiro, Stefano Mtangoo
tembeleeni na store wadau
tatizo ni collection kubwa mno kwa hiyo inabidi mtu uwe makini katika uchambuzi manake huwezi ukasoma vyote.
Mkuu wewe kuwa na references nyingi ni tatizo? Basi tumetofautiana sana, mimi napenda ninapokuwa nasoma niwe na vitabu vya rejea vya kutosha, hapa nitakuwa na uwanja mpana.