for ladies,unaweza kujipima hapa .........!

for ladies,unaweza kujipima hapa .........!

Joined
Oct 26, 2012
Posts
93
Reaction score
22
Mimi ni kijana age yangu ni 28,nahitaji msichana ambaye yuko tayari kuanzisha mahusiano na mimi sifa zangu ni kama zifuatazo.
niko chuo mwaka wa mwisho,natarajia kumaliza mwaka huu.
ni mkristo,sina ajira,sipendi uongo ndio maana nahitaji mtu ambaye yuko tayari kwenye wakati wa shida na raha,na naamini atakayekubali kuwa nami kwa kipindi hiki atafutahia mahusiano yetu.
nina mapenzi ya kweli kwa yule atakaye nipenda mimi na asipende nilivyonavyo.

kwa upande wa mwenza atakayekuwa tayari awe na sifa zifuatazo.
awe anapatikana dar es salaam.

age kuanzia 22-28.

elimi kuanzi form four na kuendelea

mcha mungu na anayejitambua.

Kwa aliye tayari ani P M
 
Back
Top Bottom