For JamiiForums Mobile users

Samahani kama nitakuwa nipo nje ya mada ila naomba nieleweshwe tofauti ya REPLY na QUOTE kwenye JamiiForums
 

pastory kimaryo

Mchungaji Kimaryo REPLY ni KUMJIBU na hasa iatatpkeza kwa yule unayetaka tu kumpa jibu lako katika Mada nzima na km unaongeza ya kwako katika Mada utashuka chini kabisa na kukuta kibox hapo unaendelea na yako ambayo yatahusiana na Mada, Post # 1

lkn QUOTE ni KUMNUKUU hapo sasa unaweza kutoa maelezo mbali kabisa na Mada ukimnukuu mwingine na kuileta kwenye Mada iwe kwenye post huru au kwa kumREPLY mmojawapo
na hapo unaweza kuQUOTE wengi tu na bado ukaziweka kwenye post moja(km vile forward kwenye Whatsapp)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…