Kuna watu wanajifanya wanajua kila kitu........kumbe hata mananasi hawajui kuyalima!!
pumbafu kabisa...wache vijana wafanye mambo yao bana....eti oooh BB..:yawn:
Namaanisha ukifunguwa tu ku post au ku reply post hizo features zote ni za kuchaguwa tu na haina haja ya kukumbuka codes zote hizo, sijawahi kuwa na tatizo hilo.
Kaka Zomba nakubaliana na wewe....ila nahisi zipo cm ambazo zinaitaji codes wakati kama unahitaji kuweka nyongeza katika cm yako....na kuhusu neno "KUKUMBUKA codes zote hizo" mi nahisi hapo unakosea...maana ujue mtu akiwa ameelewa kitu kwa uhakika huwezi kuita eti "akukumbuke" maana akifika kwenye hatua husika hufanya jambo husika kwa sababu anajua....sidhani kama anapata shida
ok asante. basi naomba unisaidie kujua jinsi ya kuweka madude kwenye bonyeza HAPA. Hiyo Hapa unakuta ina habari gazeti zima. na hapo kwenye email sikuelewa vizuri. mia.