Nikitaka kum-mention mtu mwenye jina lenye nafasi katikati nafanyaje....
Mfano: Mtu anaitwa Don, najua nikitaka kummention naandika @ Kisha jina lake,,,
Sasa mtu akiitwa Don From Dsm
Huyo nitammention vipi kwenye comment yangu
Hapo kwenye neno "colour" unatakiwa uandike "color".
Siyo lazima umezeDuh ngumu kumeza