jerrybigbwoy
Member
- Jun 14, 2015
- 7
- 0
.MTU yeyote anae faham app nzur ya kuscan na kuondoa virus kwenye Sim za android plz atusaidie kututajia hii ni kwa manufaa ya watumiaji wote wa android
nmeamini kuna watu vilaza kila kitu kipo ila bado wanakosea