Football/soccer betting principals!

Football/soccer betting principals!

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
17,947
Reaction score
33,793
Wadau habari zenu,nisaidieni kufahamu principals za ku-bet mchezo wa mpira wa miguu hasa soccer la ulaya,brasil na argentina maana nimejaribu k2mia chache nizijuazo kama vile kuwa na budget ambayo c kubwa wala ndogo,kujua conection btn odd & probabilities,finding a betting tips,corrct bttng categories, na kuchagua timu chache lakini nimeshindwa kufaid hela za mhindi ipasavyo! Na ninapenda ku-bet! .nategemea mawazo ynu wanasoka!
 
huwa unabet kimya kimya? kuna uzi humu humu sports wanamikeka tunakutana kila siku.
 
Usifuate tips maana huwa wanakosea na wao hapo we fata uonacho ni poa kuwekeza
 
Back
Top Bottom