SportBild | Signing Alexis Sánchez is Bayern's 'absolute priority' this summer
Bayern bosses have spoken with Alexis' agent Fernando Felicevich but there are no talks with Arsenal yet.
The problem with Sanchez is his wage demands -He demanded £22m/year (€25m/year) from Arsenal - Lewandowski, Bayern's top earner gets €16m
Kesho 2100 (EAT) ni fainali ya DFB-Pokal kati ya dortmund na E. Frankfurt kwenye uwanja wa Olympic mjini berlin.
Kwa upande wa dortmund hii itakua fainali ya nne mfululizo huku wakiwa wamepoteza zote tatu zilizopita. Mbili dhidi ya bayern na moja dhidi ya relegation candidate Wolfsburg.
every time we have been to Berlin in the past three years we have had to drive home empty-handed Kapten Marcel Schmelzer aliliambia gazeti la Die welt.
Hii inaweza ikawa mechi ya mwisho kwa Aubameyang na kocha TT kufuatia tetesi zilizopo kwamba P.E.A anafuatiliwa na vilabu vya Ac millan, PSG na Tianjin Quan Jiang ya china ambayo ipo tayari kumpa mshahara wa €500k kwa wiki.
Mahusiano mabaya yaliyopo kati ya kocha TT na C. E. O Joachim watzke ndio yanapelekea kocha kutoendelea kuwafundisha mabingwa hao wa ligi ya ujerumani wa mwaka 2012.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.