Football made in Germany (Bundesliga) special thread

Hawa Wolfsburg kama mnakumbuka ndio waliowatoa man u kwenye uefa msimu uliopita, wakawafunga madrid 2-0 na kufika robo fainali ya uefa, wakati kwenye ligi wakishika nafasi ya pili.

Saizi wanapigana kubakia ligi kuu.
85932d5ef93d6ea58aaaf0f6399ac37d.jpg
 
Nimefurahi bwana timu yangu hamburger hajashuka daraja. Ile SAA yetu itaendelea kuhesabu kwa msimu mwingine
Sikuangalia mechi yenu mkuu, ila inaonekana ilikua battle ya hatari sana, waliipa jina la el relegato two relagating giants fighting each other.
 
Lewandowsky ni mchezaji wa pili katika historia ya BL kufunga magoli 30+ kwenye misimu miwili mfululizo. Wa kwanza alikua Gerd Muller mwaka 1972, 73, na 74.

Hadi sasa ni wachezaji sita tu walioweza kufunga magoli 30+ kwa msimu
Lothar Emmerich
Gerd Muller
Jupp Hynckens
Dieter Muller
Lewy
Na P. E. A
 
Artulo Vidal confirms that bayern have asked about his chile teammates Alexis Sanchez
9c0e5a4f6fae8e86626f5eefca7baa98.jpg
 
Liverpool finish 4th in the Premier League & join Hoffenheim, Sevilla & Sporting in the uefa champions league play-off round.
8645a034bb1ebc0f2b83bd1dbb72079e.jpg
 
Vidal: "Bayern have asked me about Alexis and I've always told them that he is the player who should come here"

"I would like Alexis at Bayern. He is doing well at Arsenal but I think he has to take a step up and fight with the best in the world
9c83e3add401b4193bdd18c710b5496b.jpg
 
POTS FOR THE 2017/18 CHAMPIONS LEAGUE GROUP STAGE:

Note: * means if they make it thru the qualify

POT 1
Bayern
Real madrid
Juventus
Chelsea
Benfica
Shaktar donestsk
Monaco
Spartak moscow


POT 2
Barcelona
Atletico de madrid
PSG
Dortmund
Sevilla*
Man city
Porto
Man u (if they win europa league)

POT 3
Napoli*
Liverpool*
Tottenham
Fc Basel
Dynamo kiev*
Ajax*
Olympiacos*
Anderletch
 
8 bundesligas
6 pokals
1 uefa champions league
1 world cup
3 super cups
1 uefa super cup
1 club world cup

1 philipp Lahm
a3c9962127f8b81c7fcc92f217163816.jpg

ee8dd64563ed5717077591511ee39b62.jpg

a879e265e3223edf2d3b1afed33416ea.jpg
 
Mainz 05 wamemfukuza kocha wao Schmidt baada ya kuwa na mwenendo wa kusua sua sana msimu huu
c0944520b7703ea2809ae507a225099e.jpg
 
Manuel Neuer has married his girlfriend Nina Weiß in a secret wedding in Tannheim, Tyrol, Austria yesterday
d984da1e45a0212560a0f8b82a5d5dd4.jpg
 
Javi Martínez could replace Xabi Alonso in the defensive midfield role with Boateng, Hummels and Niklas Süle rotating in defence [Kicker]
5ff1d5cdbd75dafaf49667d4b739d698.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom