Food technologist natafuta kazi

solanum

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
203
99
Habari zenu wakuu,

Mimi ni kijana wa kiume, mchapakazi, mwaminifu, nina bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza mwaka 2015, nimeangaika sehemu mbalimbali kutafuta kazi lakini mpaka sasa bado sijafanikiwa. Naombeni msaada wenu jamani naamini humu wapo wenye makampuni, nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote. Nipo Dar es salaam 0758 106 501
 
Habari wakuu,

Mimi ni kijana wa kiume mchapakazi nina bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza chuo mwaka 2015, natafuta kazi sehemu yoyote nipo Dar es salaam, namba zangu 0758 106 501. Ahsanteni.
 
Ww huwezi kosa kazi ndgu fatilia World vision ,Imma world Health na PCI tanzania wana ajili sasaiv ndo wana miradi mingi tena recently tu iko on unakisaje kaz umesoma hayo mambo aseee
 
Sasa ndo umuelekeze vizuri mahali zilipo izo ofisi,cyo kila atakuwa anakufahamu
 
Ukipata mtaji wa 2.9M waweza anzisha kiwanda kidogo food processing meal, kutengeneza chill& tomato source, sweety wines, popcorn, na juice ........usiwe mvivu kuwaza namna ya kujiajiri. Kama umemaliza SUA nitakupatia kipaumbele
 
Huo mtaji wa mil 2.9 anaupataje na kama ni direct toka chuo, acheni utani nyie.
 
Habari zenu wakuu,

Mimi ni kijana wa kiume, mchapakazi, mwaminifu, nina bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza mwaka 2015, nimeangaika sehemu mbalimbali kutafuta kazi lakini mpaka sasa bado sijafanikiwa. Naombeni msaada wenu jamani naamini humu wapo wenye makampuni, nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote. Nipo Dar es salaam 0758 106 501
Msaada kuelimishwa;
Degree of sience in food science and technology ndio anafanya kazi gani?? mpishi??
 
Ukipata mtaji wa 2.9M waweza anzisha kiwanda kidogo food processing meal, kutengeneza chill& tomato source, sweety wines, popcorn, na juice ........usiwe mvivu kuwaza namna ya kujiajiri. Kama umemaliza SUA nitakupatia kipaumbele
Ahsante ni wazo zuri ila tatizo ni mtaji mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom