Food technologist natafuta kazi | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Food technologist natafuta kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by solanum, Jan 6, 2017.

 1. s

  solanum Senior Member

  #1
  Jan 6, 2017
  Joined: Jul 28, 2015
  Messages: 188
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Habari zenu wakuu,

  Mimi ni kijana wa kiume, mchapakazi, mwaminifu, nina bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza mwaka 2015, nimeangaika sehemu mbalimbali kutafuta kazi lakini mpaka sasa bado sijafanikiwa. Naombeni msaada wenu jamani naamini humu wapo wenye makampuni, nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote. Nipo Dar es salaam 0758 106 501
   
 2. Ntwa A. Katule

  Ntwa A. Katule Verified User

  #21
  Feb 16, 2017
  Joined: Jan 4, 2017
  Messages: 119
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Umemaliza wapi chuo na uwe specific ni kazi za aina gani unaweza fanya kwanya kwa taaluma yako? Njoo inbox
   
 3. Heart Wood.

  Heart Wood. JF-Expert Member

  #22
  Feb 16, 2017
  Joined: Nov 16, 2014
  Messages: 721
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 80
  It has to do with Processed food, When you talk about any processed food that you always face with in you daily life, It involves Food science technology. Just think about all about processed food in the Supermarkets etc, it is real sure that Food science technology has been involved at its best.

  Kwahiyo, Food Science inazalisha wataalam mbalimbali ili kufanikisha yote niliyosema kama mfano hapo juu. Ni taaluma kubwa pia. Ili kuzalisha kitaalamu na kukidhi viwango mbalimbali kwa vyakula na vinywaji kama vile Juice, Cake, soda, mkate n.k, kuna taaluma kubwa imetumika. Siyo suala la kuchanganya tu vitu na kuwapa watu wale. Otherwise unaweza kusababisha matatizo yasiyofaa.
   
 4. j

  jubilant JF-Expert Member

  #23
  Feb 16, 2017
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 290
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  Asante sana kwa kuniongezea uelewa.binafsi najua kutengeneza wine kutokana na asali na matunda na huwa unakuwa mzuri sana na unalewesha, huwa nikitengeneza inachuua almost 30 days kuwa matured na huwa nakunywa pia nawapa majirani wanakunywa. nilishafikiria nichukue sample nipeleke tfda au kwa mkemia mkuu aangalie ubora na quantity ya alcohol ili niwe nawauzia friends nakujiongezea kipato, nitakupatia bottle moja nikitengeneza uenjoy
  Kumbe nami nikipigwa msasa kidogo nakuwa na degreee in food sience kiulainiii...
  Asante sana
   
 5. Ngushi

  Ngushi JF-Expert Member

  #24
  Feb 16, 2017
  Joined: Jul 8, 2016
  Messages: 6,571
  Likes Received: 12,347
  Trophy Points: 280
  ha haa haaaa mkuu inakua tamu kabisa kama hizi nyingine!
   
 6. j

  jubilant JF-Expert Member

  #25
  Feb 17, 2017
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 290
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  Tamu sana ngoja nikitengeneza nitawajia inbox ukiinjwa haina tofauti na sant anna kama nimetumia nanasi..
   
 7. OPERATION ENTEBBE

  OPERATION ENTEBBE Senior Member

  #26
  Feb 17, 2017
  Joined: Feb 13, 2017
  Messages: 122
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Ingia ZOOM TANZANIA a u Mkaguzi Blog
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...