Food technologist and scientist natafuta kazi

solanum

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
203
99
Habari zenu wakuu,

Mimi ni kijana wa kiume mchapakazi na muaminifu na mwenye kujituma nina bachelor degee of science in food science and technology, nimemaliza mwaka juzi chuo( 2015). Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote ile, kwa yeyote mwenye kazi Hotline 0758 106 501 nipo Dar es slaam kwasasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom