Huyo mtu hawekeki hadharani. hata wewe ukimjua huwezi kuthubutu kumweka hadharani. Kwani hujipendi? Aliyesema hataki kusikia habari za vifo bali waliopona could be the one.Na wanaokubali kuwazika wenzao usiku ni watz wenzetu ambao tunaishi nao mitaani?
Kwa akili ya kawaida, unaanzaje kutoa wazo la kishetani kufanyia mambo gizani?
Ni nani huyo aliyetoa wazo chafu hili?
Ni nani yuko nyuma ya mpango wa kishetani wa kuzika wapendwa watanzania usiku watu wakiwa wamelala?
Huyo mtu anaweza wekwa hadharani tumjue?
Hao ndo watetezi wa wanyonge na wa bangaizajiKwa pesa walizopewa WHO na mashirika mengine kama aitel wangeweza kugawa mabox ya balakoa dar es salaam nzima lkn ndo kwanza wanasisitiza tushone
Yaani wewe hujui kinachoendelea kabisa duniani.Hebu jifunze zaidi kwa kusoma taarifa ifuatayo.Ni zaidi ya kusambaa; ni pia kuuwa kwa watu wengi katika muda mfupi
Na wanaokubali kuwazika wenzao usiku ni watz wenzetu ambao tunaishi nao mitaani?
Kwa akili ya kawaida, unaanzaje kutoa wazo la kishetani kufanyia mambo gizani?
Ni nani huyo aliyetoa wazo chafu hili?
Ni nani yuko nyuma ya mpango wa kishetani wa kuzika wapendwa watanzania usiku watu wakiwa wamelala?
Huyo mtu anaweza wekwa hadharani tumjue?
Hata kabla ya korona haya yalikuwa yanatokea.. NDUGU ZETU WAISLAMU KUNA WAKATI HUWA WANAWAZIKA NDUGU USIKU
Mbandwa siku hizi wako wapi?Bukoba kuna watu wenye vyeo vya "EMBANDWA", wanazikwa usiku tu na si vinginevyo. Labda hao wanaozikwa usiku huko Dar ni MBANDWA!!!
Sawa mkuu ambaye ni msomi wa zaidi zaidi ya A level naona hapo ndipo umetoa relationship ya Corona virus na G5!!Mkuu are you really serious. kwamba hujui relationship kati ya C-19 na 5G!Basi science yako kama umesoma science itakuwa umeishia A-level.Ipo relationship kati ya 5G na C-19.Unajua kwamba 1G-4G zinaharibu immune system?Infact jinsi unavyo upgrade generation,ndivyo destruction power ya immune system inavyo ongezeka.
Sasa 5G ubaya wake ni kwamba inatumia technology tofauti kidogo,technologia ya millimeter waves,ambazo ni very destructive to the blood and even DNA.Millimeter waves are so destructive kiasi kwamba,zinafanya zile electrons za outermost shell ya Oxygen atom zi-spin na hivyo Haemoglobin ishindwe kuichukua Oxygen kwa sababu inaiona ile Oxygen molecule kuwa ni foreign body.Ndio maana symptom moja wapo ya mtu aliyekuwa exposed to 5G or electromagnetic radiation ni kama anakosa hewa hivi.Generations zote zinatoa EMFs,ila 5G ni hatari sana kwa mwanadamu,ndio maana wazungu wamekufa sana.
Kwa bahati nzuri niseme sisi tuana 3G-4G.Hizi generations zinatoa Electromagnetic radiation,lakini sio as destructive as 5G kwa kuwa zenyewe hazitumii millimetre waves.And lthat is why you see C-19 kwenye most African countries na countries ambazo 5G haijawa rolled out,fatalities za C-19 ni limited.Hata hivyo nisisitize kwamba 5G ni trigger,sio causative agent.
Toka ulipoyaweka maneno haya hapa jukwaani hiyo jana, nimekuwa kila nikifungua mada hii, narudia kuyasoma haya maneno uliyoandika katika mistari mitatu niliyo'quote' hapo juu.Heshima aliyojijengea Magufuli kwa miaka minne na miezi kadhaa, yaweza kuyeyuka Ndani ya usiku mmoja na akadharaulika milele Ndani na nje ya mipaka yetu.
Kufa na Corona sio aibu, aseme ukweli
😂😂😂😂Mtu mwenye mawazo ya kujifukiza, anayeamini kuwa mask zimewekewa virusi.... hana element za kishetani?
What?
Huu ni ujinga usiokuwa na kipimo. Na wote ni katika juhudi za kufifisha au kuhalalisha maamuzi ya kipuuzi!Taarifa hiyo inaonyesha magonjwa 10 yanayoua watu zaidi duniani,ugonjwa wa kwanza ukiwa ugonjwa wa Moyo,a stagerring 15.2 million kwa mwaka 2016!Sasa nadhani labda idadi hiyo imefikia 20 million.Sasa mbona haijatangazwa kuwa pandemic?Acheni ujing
Wapi?Aisee nimeona video ya kijana mdogo akikata roho kwa covid mpaka nimesisimka
Tukiwaita washirikina mnatupinga,Mara tujifukize sijui na vitu gani katika 100°c na tukifariki wanatuzika kama mbwa kichaa.Na wanaokubali kuwazika wenzao usiku ni watz wenzetu ambao tunaishi nao mitaani?
Kwa akili ya kawaida, unaanzaje kutoa wazo la kishetani kufanyia mambo gizani?
Ni nani huyo aliyetoa wazo chafu hili?
Ni nani yuko nyuma ya mpango wa kishetani wa kuzika wapendwa watanzania usiku watu wakiwa wamelala?
Huyo mtu anaweza wekwa hadharani tumjue?