G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,562
- 8,425
Wenye hofu waache watajijua wenyewe usisumbuke,mi hata hilo barakoa sivai wala siachi kusafiri ktk shughuli zangu,watu wameziba vinywa muda wote ilihali wamezaliwa humu humu kwenye bara lenye kila aina ya virus,watu wamesahau hata kabla ya Covid-19 wazungu wamekua wakilazwa kwa mafua tu ya kawaida,sasa wamepata pigo huko kwao ni jaribu lao wanalazimisha dunia yote iwe na taharuki ilihali sisi hiyo kitu yao ni kama haituwezi japo usafi ni muhimu ili tuepuke hata kile ambacho hua kinatuweza (kipindupindu) lakini hii ngoma watu ni kutiana hofu tu kijinga jinga na kila anayesema maneno ukimuuliza kama ameona anasema ameambiwa jamaa yake wa karibu..mambo ya kipuuzi kabisa?eti watu wanakufa na kuzikwa kimya kimya,tuna ndugu kila kona ya nchi na marafiki lakini hatusikii kesi,wala kwa jirani afu limtu linakuja humu linasema watu wanakufa kwa wingi na kuzikwa usiku hata halijawahi kuona lenyewe limebeba manenobta walevi linatembea nayo
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Najua ipo hofu sana,lakini it is unjustified. Vyombo vya habari vya nchi za magharibi ndivyo vilivyo anza,na hivi vimeamriwa kufanya hivyo na wakubwa zao ambao ni New World Order.New World Order wao hofu ni mtaji ili waweze kufanya mambo yao.Vyombo vyetu vya habari navyo kwa kutojua kinachoendelea,wakadakia.Sasa ni hofu,hofu,hofu kila mahali.Nirudie,sio kila ugonjwa ni C-19.Na tena kile kifaa kinachotumika kupimia C-19(PCR) mtengenezaji alisema kisitumike kwa kazi hiyo.Nchi za magharibi wanang'ang'ania kitumike kwa kuwa kina-inflate cases,na kwa hiyo kutekeleza lengo lao la kuleta hofu.Kiukweli kifaa hiki ni zoa zoa.Hii maana yake ni kwamba kina inflate sana idadi ya wagonjwa na hivyo vifo.Punguzeni woga,C-19 sio tatizo kihivyo.Cancer,Diabetes,Malaria ,Magonjwa ya Moyo ni more serious,sema hatuyatangazi.
Fuata link ifuatayo uone jinsi kifaa cha kupimia C-19 kinacho inflate cases.Na nimesema hii ni makusudi.
The Illusory Pandemic and the Diagnostic Tests | SOTN: Alternative News, Analysis & Commentary
Saaa eti watu mnaogoopa.Hivi mnajua athari za hofu kweli,hofu ni mbaya sana.Nadhani kuna haja ya kuleta mada ya "Hofu na athari zake" Mungu akitujalia.
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature