Fomula za Masikini na Tajiri

Makala zenye akili kama hizi zinakosa wachangiaji kwa sababu hazigusii ngono na umbea..hakuna mambo ya kulana kimasihara!
 
Waafrika tunautafuta utajiri kwa maombi ya kukesha kama tulivyoikemea Covid_19
 
Tatizo moja matajiri hatutaki maskini mjue Siri za mafanikio yetu.ili muwe kama sisi hatupendi kabisa hili tunapenda kuwatumia motivation speaker waharibu akili na mitazamo yenu kufikiri kuhusu maisha.
 
Kama kuna kaukweli hivi!
 
Mleta mada na wewe ni maskini tu kama wakina sie. Umemnanga vilivyo maskini zaidi ya tajili.
 
Ahsante sana mkuu.
Nimepata kitu hapa.
 
Safi sana mkuu endelea na Makala nakufatilia kwa makini sana
 
Nilitaka nikopi huu uzi nikaweke kwenye group la ukoo ila nimegundua wataniona najidai na ukizingatia wengine wana akili za kimasikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…